Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kama ile ya PolepoleATULIE DAWA IINGIE AACHE KELELE
DEFINE KUTUKANAAnajua kutukana sana huyu mwamba😂
Aache kutapata ulimwengu ndio nini, ulimwengu ndio umemtuma akinukishe? Aache kulialia alijitakia huyo lofa. Alishaajiandaa ndio maana ameshahamishia familia yake Ulaya na inahudumiwa na wazungu kwa gharama ya kukinukisha ili wazungu wachukue walichokubaliana. Huyo ni adui wa Taifa.Tundu Lissu: Ulimwengu unajua hakuna Kesi bali ni Siasa, nimepewa Kesi ili wasisumbuliwe na No Reforms, No Election
Ndio kakudunga wewe sindano?Kama ile ya Polepole
Adui wa Taifa n8 yule anaegiza watu watekwe na kuwawa ili yeye asikosolewe hata akiuza bandari zetu na kuruhusu ufisadi.Aache kutapata ulimwengu ndio nini, ulimwengu ndio umemtuma akinukishe? Aache kulialia alijitakia huyo lofa. Alishaajiandaa ndio maana ameshahamishia familia yake Ulaya na inahudumiwa na wazungu kwa gharama ya kukinukisha ili wazungu wachukue walichokubaliana. Huyo ni adui wa Taifa.
You have very weak emotion. Be a man.Hadi machozi yananitoka hii nchii imekuwa ya kimemkwa.
EAache kutapata ulimwengu ndio nini, ulimwengu ndio umemtuma akinukishe? Aache kulialia alijitakia huyo lofa. Alishaajiandaa ndio maana ameshahamishia familia yake Ulaya na inahudumiwa na wazungu kwa gharama ya kukinukisha ili wazungu wachukue walichokubaliana. Huyo ni adui wa Taifa.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURAATULIE DAWA IINGIE AACHE KELELE
Uko ya ngapi?Aache kutapata ulimwengu ndio nini, ulimwengu ndio umemtuma akinukishe? Aache kulialia alijitakia huyo lofa. Alishaajiandaa ndio maana ameshahamishia familia yake Ulaya na inahudumiwa na wazungu kwa gharama ya kukinukisha ili wazungu wachukue walichokubaliana. Huyo ni adui wa Taifa.