GE2025 Tundu Lissu: Ulimwengu unajua hakuna Kesi bali ni Siasa, nimepewa Kesi ili wasisumbuliwe na No Reforms, No Election

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kabla ya kukinukisha una nn wewe kama taifa ambacho wazungu wakitaka wanakikosa? We hata vyoo vya shule unajengewa na wazungu una bwabwaja nn hapa
 
Kwani wewe ulielewa nini juu ya "kukinukisha"? kwetu kama ukila maharage na njugu, ukavimbiwa, ukajamba, sisi tutasema wewe "umekinukisha" kiufyuzi kinanuka. Je, ukikinukisha tayari wewe umefanya uhaini?
 
Ni kipi ambacho hakichukiliwi na wazungu sasa hivi, hadi wasubiri kuchukua Lisu akiwa madarakani?
 
Samahani, wewe ni mzima kichwani?
 
Daah

Mkuu ni hela halamu za CCM ndizo zinzkupa ujasiri wakutamka maneno haya.Vaa ubinadamu,vaa utu .Kumbuka wewe si lolote mbele za MUNGU na siku Moja utakufa na MUNGU atadai damu za watu mikononi mwako
 
Imani ni utambuzi sio kukariri
 
Mbona aliyesema chadema wanachangisha pesa ili walete magonjwa ya ebola hakukamatwa kwenda kutoa ushaidi wake ameachwa anafanya siasa za maji taka au yeye anakinga wasio na kinga ni upinzani?
 
Mbona mgogoro wa Serikali vs CDM ni mdogo sana. Hapa katikati si upande wa Serikali au CDM kumekosekana watu kadhaa wenye hekima ya kuwakalisha chini na kuwashauri.

Huu mgogoro ni mdogo sana
 
Hadi machozi yananitoka hii nchii imekuwa ya kimemkwa.
Samahani mkuu we ni wa kike? Inakuwaje unatoka machozi kizembe au yanatoka kama mkojo? Familia yako inajua kwamba ina mtu anamlilia mwanasiasa anayepigania tumbo lake na familia yake?
 
Ulisomea masomo ya mwandiko maana hayo masomo yenu yanawasadia sana kuweza kuandika ila hakuna kitu cha maana unaweza kuandika watu wakaelewa zaidi ya kurudia kile kile.
 
Good analysis.
Elimu Hii ilifaa uiweke kwenye uzi unaojitegemea. Huku imejificha cha wengi hawatoona na ndio mana hawajakuattack!
Ikiiupendeza itengenezee uzi wa kujitegemea Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…