Sure, I was wrong. I was post to write, "You have weak emotions." Are you happy now ?Bwana, kubali tu kwamba kusema "you have a weak emotion" is wrong grammatically wrong and does not make sense. Najua Kiingereza sio lugha yako, just admit uko wrong. It has nothing to do with your age.
Kuna wajinga sio wa kujibiwa mkuu..Adui wa Taifa n8 yule anaegiza watu watekwe na kuwawa ili yeye asikosolewe hata akiuza bandari zetu na kuruhusu ufisadi.
Linawapiga Kiingereza mpaka mnaona maluweluwe nyau nyie na mpuuzi wenu Bi. Mkora!ATULIE DAWA IINGIE AACHE KELELE
Uko zako mchikichini unazungumzia nje ya Nchi..Wewe kama huelewi waachie watu nje ya nchi wakiwemo wazungu wanaelewa nilichoandika
Wamebakia wazee wahuni ambao hawana hekima wezi wa rasilmali ndo wamebaki wanamuogopa Lissu kama UkomaMbona mgogoro wa Serikali vs CDM ni mdogo sana. Hapa katikati si upande wa Serikali au CDM kumekosekana watu kadhaa wenye hekima ya kuwakalisha chini na kuwashauri.
Huu mgogoro ni mdogo sana
Dawa gani?ATULIE DAWA IINGIE AACHE KELELE
Hahaha Lissu anajua kupiga kwenye Kidonda sio mshono tenaMwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amesema "Mahakama yako vilevile iko kwenye Mahakama ya Umma, iko kwenye Kizimba cha Umma"
"Watu wa Taifa hili wanajua na Ulimwengu unajua hakuna Kesi hapa bali ni Siasa, ni mwaka wa Uchaguzi, na mwaka wa Uchaguzi Kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani amekamatwa amepewa Kesi ya Uhaini si kwasababu ni mhaini ni kwasababa ya Siasa, ili Watu waende kwenye Uchaguzi wasisumbuliwe na No Reforms, No Election"
"Nchi yetu imechafuka kwasbababu ya Kesi hii"
Bofya hapa: Kujuya Yanayojiri Kesi ya Uhaini ya Lissu Julai 15, 2025 Mahakama ya Kisutu
Sio suala la mimi kuwa happy. Hata kusema "you have weak emotions" ni wrong. Suala ni kwamba wewe ulitaka kusema nini?Sure, I was wrong. I was post to write, "You have weak emotions." Are you happy now ?
Condom ingesaidia kabisa kutokuwa na vilaza kama wewe, wasted sperm.Aache kutapata ulimwengu ndio nini, ulimwengu ndio umemtuma akinukishe? Aache kulialia alijitakia huyo lofa. Alishaajiandaa ndio maana ameshahamishia familia yake Ulaya na inahudumiwa na wazungu kwa gharama ya kukinukisha ili wazungu wachukue walichokubaliana. Huyo ni adui wa Taifa.
Asante, nipe lipa namba au bank acc,Sio suala la mimi kuwa happy. Hata kusema "you have weak emotions" ni wrong. Suala ni kwamba wewe ulitaka kusema nini?
Kwa sababu kwa mfano, mtu anaweza kwenda harusini penye furaha au msibani penye huzuni, na katika sehemu hizo mbili bado ikawa right kusema he did not show strong emotions (better than to say he showed weak emotions)
Lakini ukisema "you are emotionally weak" ina maana wewe ni mtu ambae unaweza kuwa unaonyesha emotions kirahisi, yaani hata kitu kidogo kinakuliza tu kama taahira, au you cant control your emotions, whether za furaha au za huzuni
Na kusema "you have strong emotions about things" ni kwamba wewe hata vitu vidogo unahemuka tu, you make big issues out of small things na kuwa mtu wa kukazia mambo sana, whether unapokubaliana au usipokubaliana na kitu
Sasa angalia kwamba it is not right to say "you have weak emotions" , lakini it is right to say "you have strong emotions"
Sasa nilipe tuition fee.
Hehehe! Wewe utakuwa TISS wewe 😀Asante, nipe lipa namba au bank acc,
Si mmojawao ila nipo karibu nao. Asante.Hehehe! Wewe utakuwa TISS wewe 😀
Mkuu huyo hata akili tu ya kuwaza mema Hana. Anachojua ni kumtesa mtu na kulazimisha kumuabudu saa90 sababu yeye anaamuabuduKabla ya kukinukisha una nn wewe kama taifa ambacho wazungu wakitaka wanakikosa? We hata vyoo vya shule unajengewa na wazungu una bwabwaja nn hapa
Umemsahau mama ako alikua anafungua nchi... Au alikua anafunua chupi ulimwenguni??Lisu ni kiongozi wa Chama cha watu wa nje sio watanzania
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vyote vya siasa Tanzania ni hixi
1.Vyama vingine vyote vya siasa vinawaamini watanzania .Chadema inawaamini watu wa nje zaidi.
2.Vyama vingine huhangaika kujinadi kwa watanzania wawaelewe kuwa wanaweza kushika dola.Chadema hujinadi zaidi kwa watu wa nje kuwa kinaweza kushika dola na kutaka wawaelewe
3.Vyama vingine vinaamini kuwa kura ya watanzania ndio inaweza kuwapa dola Chadema wanaamini kuwa mashinikizo ya kimataifa ndio yaweza kiwezesha kushika dola
4.Chadema haiamini vyombo vyetu vya sheria kama mahakama zetu na wanasheria wetu wanaamini zaidi wa nje tofauti na vyama vingine
5.Vyama vingine vinaamini katika kufanya propaganda za nguvu za kisiasa ndani ya nch kujijenga i wakati Chadema inaamini kufanya propaganda za kisiasa nje ya nchi zaidi kujijenga nje ya nchi na kwa watu nje
Ndio maana unakuta hata kesi ya Lisu Wanachadema na Lisu mwenyewe wakiona kuna watu wa nje ya nchi mahakamani huwa wehu kwa kufurahi kuwa watu wa nje wamo mahakamani hujisikia kama wako mbinguni.Ona Lisu hapo kaona kuna watu wa nje mzuka wa kiingereza umempanda ili wamsikie kwa Lugha ya kwao .Hapo kichwa chake na mdomo viko nje ya nchi haviko Tanzania
Wakati vyama vingine vyote vilivyobaki wala haviwahitaji wawemo mahakamani kukiwa na kesi zao
6.Chadema huamini zaidi kwenye mifumo ya kisiasa ya nje kama ya mataifa ya ulaya huko au Kenya nk wakati vyama vingine vyote huamini kuwa mifumo ya kisiass sio uniform kuwa lazima ifanane na nje
7.Chadema huamini zaidi kupata fedha kutoka nje wakati vyama vingine huamini zaidi kupata fedha kutoka ndani ya nchi
8.Chadema huviamini zaidi vyombo vya habari vya nje kuliko vyombo.vya habari vya ndani tofauti na vyama vingine
Kifupi Chadema ni foreign imported product kutoka nje ya nchi kwa manufaa ya watu wa nje wakati vyama vingine vyote vya siasa ni locally grown product ilizolishwa na watanzania wenyewe kwa ajili ya watanzania wenyewe