ArtificialIntelligence
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 377
- 734
Nimeshtushwa sana tena eneo analotoka yeye Singida ni eneo guswa sana na Tatizo la maji...Tundu Lisu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya MAREKANI na nchi zilizoendelea
Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na mateso makubwa badili mfumo wa Sera zako zijikite kwenye mazingira halisi ya nchi yetu inayohitaji. Maji, umeme, afya bora uonevu tunaofanyiwa wananchi wa kunyimwa huduma za msingi za kijamii ndo tunaotaka uukemee
Mheshimiwa Tundu Lissu unaosema wameonewa ni wale ambao wanatuibia na kutuoñea wananchi sisi wananchi tumeteseka muda mrefu tumepata Rais Magufuli anayewabana unaowaita wanaonewaa kwa manufaa ya ya wengi masikini wanaopita kwenye barabara mbovu wanaokunywa maji machafu hawa Magufuli ameamua kula nao sahani moja
Kaeni na Chama chenu mudraft upya Sera zako Sera ulizooñgea ni dhaifu sana to be the Head of state
Tuambie mambo ya kuijenga nchi lakini Personal attack zako kwa kweli hafu za uongo na kutunga ukipata kura hats laki moja kati ya wapiga kura una bahati umewaangusha wafuasi wako wamenywea weakest speech ever
Lisu kichwani hamna kitu Ni kama samaki ukimtoa kwenye maji ukamuweka nchi kavu anaishia.Na Lisu ukimtoa kwenye fani ya sheria huku Kwingine kichwani Ni mweupe kabisa.Hayo ndiyo alitakiwa kuongea lakini Wala akawa anaendea kubwabwaja anavyoviota kichwani mwenyeweMambo ya Muhimu kama
Elimu, Uchumi, ukwepaji wa kodi na Rushwa
Usimamizi wa rasilimali n.k hajagusa
Hotuba ilikuwa dhaifu. Natamani kama akipange atoe labda nyingine.
Biashara asubuhi kachemka too lateNadhani muda bado wa kuongelea yote hayo...
Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea.
Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na mateso makubwa badili mfumo wa Sera zako zijikite kwenye mazingira halisi ya nchi yetu inayohitaji. Maji, umeme, afya bora uonevu tunaofanyiwa wananchi wa kunyimwa huduma za msingi za kijamii ndo tunaotaka uukemee.
Mheshimiwa Tundu Lissu unaosema wameonewa ni wale ambao wanatuibia na kutuoñea wananchi sisi wananchi tumeteseka muda mrefu tumepata Rais Magufuli anayewabana unaowaita wanaonewaa kwa manufaa ya ya wengi masikini wanaopita kwenye barabara mbovu wanaokunywa maji machafu hawa Magufuli ameamua kula nao sahani moja.
Kaeni na Chama chenu mudraft upya Sera zako Sera ulizooñgea ni dhaifu sana to be the Head of state.
Tuambie mambo ya kuijenga nchi lakini Personal attack zako kwa kweli hafu za uongo na kutunga ukipata kura hats laki moja kati ya wapiga kura una bahati. Umewaangusha wafuasi wako wamenywea, weakest speech ever.
Wewe boya ile alikuwa anatangaza nia ya kugombea tu wala hata hajapitishwa na Chama chake kugombea au uliambiwa ile ilikuwa ilani ya uchaguzi?Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea.
Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na mateso makubwa badili mfumo wa Sera zako zijikite kwenye mazingira halisi ya nchi yetu inayohitaji. Maji, umeme, afya bora uonevu tunaofanyiwa wananchi wa kunyimwa huduma za msingi za kijamii ndo tunaotaka uukemee.
Mheshimiwa Tundu Lissu unaosema wameonewa ni wale ambao wanatuibia na kutuoñea wananchi sisi wananchi tumeteseka muda mrefu tumepata Rais Magufuli anayewabana unaowaita wanaonewaa kwa manufaa ya ya wengi masikini wanaopita kwenye barabara mbovu wanaokunywa maji machafu hawa Magufuli ameamua kula nao sahani moja.
Kaeni na Chama chenu mudraft upya Sera zako Sera ulizooñgea ni dhaifu sana to be the Head of state.
Tuambie mambo ya kuijenga nchi lakini Personal attack zako kwa kweli hafu za uongo na kutunga ukipata kura hats laki moja kati ya wapiga kura una bahati. Umewaangusha wafuasi wako wamenywea, weakest speech ever.
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tuNo wonder membe atachukua fomu ya urais kupitia CCM-2020
Na akipitishwa utakuja hapa kumsifia nyie ni wapiga zumari tu.Atachukulia wapi [emoji1]
Kazi ya uvccm hiyoYani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?
Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .
pole sana Mh Mbowe.
Chadema mnatia huruma kwa hiyo ukifika mkoa unauliza mna shida gani wakwambie Halafu unasema nitatatua !!! Uko too shallow .Nini utafanya yanakuwa kwenye Ilani yako ya chama ya uchaguzi huendi tu kule unasubiria wasemeHehehe,
Jibu lepesi tu Swala LA kusema hataji maji, umeme, sijui barabara hayo ni mambo ya wakati wa kampeni na huongelewa maeneo husika,
.yaan akienda mkoa wenye shida ya maji basi atawaahidi maji, maana sio kila mkoa una shida ya maji, umeme na mengine kadhalika