Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Hongereni na poleni na kazi ya kutafuta mkate wa kila siku. Leo nimefikilia sana in deep, juu uchaguzi wa CHADEMA, bila shaka uchaguzi ule umeacha vidonda na makovu makubwa kwa upande wa wale walioshindwa.
Tundu Lissu unda tume ya watu wenye hekima, busara, ushawishi wa kisiasa, kifedha, nk, wakiwemo viongozi wa kidini, wafanyabiashara, watu mbalilmbali, ili wakutane na Mbowe, na viongozi wa kanda waliokuwa upande wake Mbowe kwa ajili ya kujenga CHAMA cha CHADEMA.
CHAMA cha siasa mtaji wake mkuu ni watu, bila watu CHAMA kinakufa.
NB lakini pia washawishi mkutano mkuu, kuwaseheme wale wabunge 19 , HAWA pia ni mtaji mzuri wa CHAMA. Usipuuze ushauli huu!
Lengo nikuunganisha nguvu, ya pamoja I'li kukijenga CHAMA, la mwisho sio kwa umuhimu, usikaze sana kuhusu watu wanaotaka kujiunga na CHAMA hata hao wanachama wa zamani, kila binadamu anamapungufu yake, so tuvumiliane tunapokosea.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.