Tundu Lissu, unda Tume ya kuponya majeraha ya uchaguzi wa mwenyekiti

Karb sana kwa ajili ya kujenga taifa letu pendwa la Tanzania.
ni vizuri zaidi kama vijana wazalena,
kua makini na kuepuka vibaka na matapeli wa kisiasa wanaochochea vijana kupoteza haki zao za kikatiba ikiwa ni pamoja na kucahua viongozi wa mapenzi yao kwenye chaguzi hususan uchaguzi mkuu :pedroP:
 
Wewe bwasheee, TL na Timu yake hamna ambaye pale ana Roho ya kisasi kama unavyojaribi kuionyesha.

Ukweli ni Kua, Wafuasi wa MBOWE ndio wanaojitenga na hawataki kumpa LISSU ushirikiano.

Tuliwaona, tuliwasikia wakila viapo "Mwenyekiti utabaki kua MTU muhimu kwangú".

Tunajua , lengo la Team FAM ni kumkwamisha TL ila HAWATOWEZA.
Hakuna haja ya kusamehe kima yeyote, ni ama awe upande wa chama au aende zake anakoamini.
Uzuri wanachama wa kawaida wanamuunga mkono Lisu
 
ni vizuri zaidi kama vijana wazalena,
kua makini na kuepuka vibaka na matapeli wa kisiasa wanaochochea vijana kupoteza haki zao za kikatiba ikiwa ni pamoja na kucahua viongozi wa mapenzi yao kwenye chaguzi hususan uchaguzi mkuu :pedroP:
Kabisa mkuu, nitaenda kukusaidia kampeni Yako utakapo gombea ubunge😅😅😅😅
 
Hongereni na poleni na kazi ya kutafuta mkate wa kila siku. Leo nimefikilia sana in deep, juu uchaguzi wa CHADEMA, bila shaka uchaguzi ule umeacha vidonda na makovu makubwa kwa upande wa wale walioshindwa.

Tundu Lissu unda tume ya watu wenye hekima, busara, ushawishi wa kisiasa, kifedha, nk, wakiwemo viongozi wa kidini, wafanyabiashara, watu mbalilmbali, ili wakutane na Mbowe, na viongozi wa kanda waliokuwa upande wake Mbowe kwa ajili ya kujenga CHAMA cha CHADEMA.

CHAMA cha siasa mtaji wake mkuu ni watu, bila watu CHAMA kinakufa.

NB lakini pia washawishi mkutano mkuu, kuwaseheme wale wabunge 19 , HAWA pia ni mtaji mzuri wa CHAMA. Usipuuze ushauli huu!

Lengo nikuunganisha nguvu, ya pamoja I'li kukijenga CHAMA, la mwisho sio kwa umuhimu, usikaze sana kuhusu watu wanaotaka kujiunga na CHAMA hata hao wanachama wa zamani, kila binadamu anamapungufu yake, so tuvumiliane tunapokosea.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Tundu Lisu hana hata muda wa kuunda tume, anachotakiwa ni kufumua mapandikizi yote ya mbowe na sisiemu. aanzie mrema, aje wale chawa wote ajue wakibaki hata afanye nini watakuwa kikwazo. akifanya hivyo akaanza upya wala chama hakitakufa kwa sababu majority ya watanzania tayari walishamchoka mbowe na walikuwa wanatamani Lisu awe mwenyekiti na wamemuunga mkono. sasa kama tayari ana watu wengi huku nje wanaoweza kuuunga mkono, hao wachache walioko ndani wana nini? na yeye ana rungu la mwenyekiti?

sema shida moja atakayokumbana nayo ni pesa, hatapata pesa sisiemu wala chadema na watanzania ukiweka mkeka ni wagumu sana kuchanga, wanaongea maneno tu ila hawachangi, atapambana na hali yake hadi aje apate wabunge wengi october watakoleta pesa za ruzuku, na atapaswa afanye kazi kwelikweli, au la, hao hao wanachadema waliomsapoti hawawezi hata kukubali kukaa kikao bila posho, watanunuliwa wote na atapata taabu sana.
 
Mchawi, ni pesa, lakin pia elimu ya kizalendo, watanzania wengi saizi wanaangalia masilai yao, badala ya taifa
 
View attachment 3241030

Machawa wa Lissu wanaendeleza vijembe. Ni wapuuzi sana chama kinawafia mkononi.
Lema bana, Tim Cook ameleta product gani mpya sokoni toka Jobs afe?

Na anajua kama Jobs ndio alipendekeza Tim Cook awe CEO?

Na Tim alimheshimu sana Jobs kiasi Steve Jobs anafariki Tim Hakugusa chochote katika ofisi ya Jobs, aliacha kila kitu kikiwa vilevile.

Pia Cook alikuwa mahiri katika mauzo hata wakati Cancer imemshambulia sana Jobs.

Hakuna kitu kipya Cook ameleta kwa watumiaji wa apple.

Hakuna mfanano wa Jobs na Cook kwa Mbowe na Lissu.
 
Iundwe tume kwani kulikuwa na mgogoro mkubwa? Zile zilikuwa ni timu mbili za kampeni zilizosigana hasa na hatimaye timu moja ilishinda. Wale walioshindwa walitakiwa kukubali hali hiyo na kujiunga na walioshinda ili kuwa kitu kimoja. Ingekuwa ni mwenyekiti tofauti na huyu aliyegombea na kushinda hawa wanaoendeleza makundi wanatakiwa kupewa onyo kali, la sivyo ni kufukuzwa uanachama kwa kuendeleza makundi bila sababu ya maana wakati uchaguzi umepita. Kuhusu wale covid 19 kusamehewa, msamaha huja kwa wale wanaokiri kuwa ni wakosaji. Sasa kama hawatakiri kuwa walikosa, huo msamaha utatolewaje? By the way wale walifanya uasi kwa kwenda kinyume na matakwa ya chama chao. Chama chao hakiwatambui, labda warudi kwa mlango wa nyuma na tayari wengine wanaonekana kutaka kwenda chama kingine tusubiri bunge livunjwe tuone watasimama wapi kufanya siasa
 
Upo sahihi mkuu, msamaha unatolewa kwa mtu anae kili makosa,, kamati kuu ,wakae waseme hadharani juu, ya hayo makundi, I'li kujua yupi ni chadema na yupi ni ccm
 
Lengo nikuunganisha nguvu, ya pamoja I'li kukijenga CHAMA, la mwisho sio kwa umuhimu, usikaze sana kuhusu watu wanaotaka kujiunga na CHAMA hata hao wanachama wa zamani, kila binadamu anamapungufu yake, so tuvumiliane tunapokosea.
1740035063349.png
 
Back
Top Bottom