Kwani wewe unaemdharau una ukamilifu gani?Anajikuta nani hivi huyo nchenchemela, mfumo haujalala, utakaa na kuamka naye pamoja na genge lake ambalo linachunguzwa kwa muda mrefu
Mmeo amekula au unakurupuka tu?Anajikuta nani hivi huyo nchenchemela, mfumo haujalala, utakaa na kuamka naye pamoja na genge lake ambalo linachunguzwa kwa muda mrefu
KimenukaMbulu Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=uk9uB6KJSR0&pp=QAFIAQ%3D%3D
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara taifa kamanda Tundu Lissu ametoa angalizo kuwa uchaguzi wa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025...
Yale ya 2020 yakirudiwa tena 2025 nchi itakuwa katika hatihati kwani wananchi hawatakubali kupewa viongozi wa vijiji, madiwani na wabunge ambao hawajachaguliwa kupitia uchaguzi ulio wa haki na huru ...
Ushindi wa kupitia mezani kwa kuvuruga uchaguzi utawasha moto ambao utakuwa mgumu kuzima kwa kuwa...
Muulize RutoAnajikuta nani hivi huyo nchenchemela, mfumo haujalala, utakaa na kuamka naye pamoja na genge lake ambalo linachunguzwa kwa muda mrefu
Magufuli alipochukua nchi huo mfumo ulikuwa unakoroma?Anajikuta nani hivi huyo nchenchemela, mfumo haujalala, utakaa na kuamka naye pamoja na genge lake ambalo linachunguzwa kwa muda mrefu
Hakika .Mbulu Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=uk9uB6KJSR0&pp=QAFIAQ%3D%3D
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara taifa kamanda Tundu Lissu ametoa angalizo kuwa uchaguzi wa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025...
Yale ya 2020 yakirudiwa tena 2025 nchi itakuwa katika hatihati kwani wananchi hawatakubali kupewa viongozi wa vijiji, madiwani na wabunge ambao hawajachaguliwa kupitia uchaguzi ulio wa haki na huru ...
Hakuna hiyo, bila haki jiandaeni, muda wa kubembelezana umeishaWatanzania tupendane
Majimbo ya chadema yanajulikana, siasa ya kenya maji kupwa maji kujaa, haitabiriki kwa kuwa inaongozwa na ukabila, ukanda, Tanzania hakuna hiyo. Usione wanaandamana tu, big fish ambao wako nyuma yao are exremely poweful, Lissu hela ya gari tu anaomba, powerful dons zinamiliki mpaka helcopter, zina biashara ya kuuza gesi, wana maekari ya mashamba kwa malaki, and of course a fat bank account.Muulize Ruto
endelea kukaririMajimbo ya chadema yanajulikana, siasa ya kenya maji kupwa maji kujaa, haitabiriki kwa kuwa inaongozwa na ukabila, ukanda, Tanzania hakuna hiyo. Usione wanaandamana tu, big fish ambao wako nyuma yao are exremely poweful, Lissu hela ya gari tu anaomba, powerful dons zinamiliki mpaka helcopter, zina biashara ya kuuza gesi, wana maekari ya mashamba kwa malaki, and of course a fat bank account.
Hata design ya jeshi letu na lao ni tofauti, huku ukijaa wanakujaza
Umeandika upuuzi.Anajikuta nani hivi huyo nchenchemela, mfumo haujalala, utakaa na kuamka naye pamoja na genge lake ambalo linachunguzwa kwa muda mrefu