Tundu Lissu Vs Robert Mugabe Quote

Tundu Lissu Vs Robert Mugabe Quote

Wakili wa serikali: Mhe.Jaji tunaomba utupilie mbali maombi ya pingamizi ya upande wa mlalamikaji maana hati ya maombi imekosewa. Wanatakiwa kumshtaki Mwanasheria mkuu wa serikali na hawajafanya hivyo.
Lissu: Wewe ni wakili wa kujitegemea au wa serikali?
Wakili: wa serikali
Lissu: Unafanya kazi chini ya ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali?
Wakili: Ndio
Lissu: Sasa kama Mwanasheria mkuu wa serikali hajashtakiwa wewe unafanya nini hapa?
Manina zake!
 
Tundu Lissu...unasema habari uliisoma kwenye gazeti la mawio?

Shahidi... Ndiyo

Lissu... Mimi ni mfanyakazi au mhariri wa gazeti la mawio?

Shahidi.. Hapana

lissu... Sasa kwanini umeniunganisha kwenye kesi ya mawio?

Shahidi... Gazeti liliandika habari za uchochezi
(Wrong answer to the right question)
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
huyu jamaa ni exceptional kwny ulingo wa sheria
 
Lisu: unasema nimesma d. Uchwara ataharibu nchi hii

Shahidi. Ndio

Lisu: nilisema Tazania?

Shahidi hapana

Lisu: kwa hiyo nchi hii wewe ulitafsri kuwa ni tz?

Shahidi: ndio
 
Lissu: Umesoma?
Shahidi: Ndio.
Lissu: Una uelewa kidogo wa mambo ya Sheria?
Shahidi; Mi hayo mambo ya Sheria za mahakamani sijui, maana nilisoma Physics.
Lissu: Hata Newton's law of motion si Sheria pia? Nayo hujui?
Shahidi; Najua ....zipo kama tatu.
Lissu: OK, ok ...Sasa unaweza kutuambia why the last drop of urine doesn't obey the law of gravity unless you shake it well?
Shahidi: Mimi hiyo sijasoma.
Lissu; Kitu ulicho sema unakifahamu sasa unasema hujui, sasa huoni hata huo ushahidi unaosema ulikuwepo, hapa unaweza kuwa unaongea kitu usicho kijua?
Shahidi: Sijui
Unless you shake it well?
 
Heshima tunayoweza kutoa kwa fani ya sheria ni kusomesha watoto wetu kama Tundu Lisu.
 
Back
Top Bottom