Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini havitendi haki katika kuripoti masula ya Uchaguzi kwa vyama vikuu vya upinzani.