Tundu Lissu: Walinifuata kunipoza niache kusemasema

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Akihojiwa na Katika Kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema “Sikuwahi kufuatwa na Mtu akaniambia anipe hela ili nisiwe na msimamo Fulani, safari hii nimefuatwa ndio maana imebidi nikemee hadharani.”

Bila kufafanua Watu au Mtu anayemzungumzia, Lissu amesema waliofanya hivyo walimfuata nyumbani kwake. Amesema “Kuna tatizo na linatakiwa kusemwa hadharani, hawakutaka niondoke CHADEMA walitaka nipunguze ukali, wanisaidie kuangaiangaika mfano sina gari…”

Soma Pia: Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"
 
Ni Abdul tu huyo kwa niaba ya mamake.
 
Lissu hajui kuweka siri, akipewa nchi ataweza kutunza siri za serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…