Pre GE2025 Tundu Lissu: Wasira ana miaka zaidi ya 50 akiwa kiongozi, ana kipi kipya cha kufanya naye mdahalo?

Pre GE2025 Tundu Lissu: Wasira ana miaka zaidi ya 50 akiwa kiongozi, ana kipi kipya cha kufanya naye mdahalo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Tundu Lissu akijibu swali aliloulizwa na Mwandishi wa Habari aitwaye Elizabeti amesema kuwa yeye hana hadhi ya kuzungumza na Makamu Mwenyekitinwa CCM Mh. Steven Wasira.

Amedai kwamba Mh. Steven Wasira amekuwa kwenye uongozi kwa miaka mingi kwa hiyo hana jipya la kufanyia Mdahalo.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akijibu zaidi amefafanua kuwa Mwenye Uwa kuleta mabadiliko ya Mifumo Huru na Haki Mh. Rais Dr. Samia Suluhi Pekee na huyo ndiye atakayefanya naye mdahalo.

Lissu ameyasema hayo leo February 12, 2025, alipokuwa katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni-Dar es Salaam.

Pia soma: LIVE - Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa
 
Back
Top Bottom