Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Zipo sawa Ila moja ni wakati uliopitaSeek and sougth have the same meaning..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo sawa Ila moja ni wakati uliopitaSeek and sougth have the same meaning..
Mkuu, hawa wanajimwambafai kuwa wao ji akili kubwa! Yaani...taabu tupu ha wanazi! Ha ha haaa!Mkuu andika kiswahili tafadhali.
Ccm buried in 2015 , we can't allowing NEC to revival this deadly bodiesCan you categorically explain the reason of hidding the driver,who was at the "Lissu firing scene"?
Umeshauriwa utumie lugha ya kiswahili, Mkuu. Utaporomosha lugha za kuudhi jukwaani bila kujua, Mkuu.Ccm buried in 2015 , we can't allowing NEC to revival this deadly bodies
Ahaaa wazee PhD fake hamjui chochote sought and seek are the same words
Mkuu, hawa wanajimwambafai kuwa wao ji akili kubwa! Yaani...taabu tupu ha wanazi! Ha ha haaa!
Makosa mengine ya uandishi yana " irritate"Don't expose ur condemn better to ask for Swahili version.
Makosa mengine ya uandishi yana " irritate"
Absolutely not true,Tundu A. Lissu is really Puppet.Tundulissu went abroad to seek Medical treatments after an assassination attempt done by unknown peoples in 7/9/2017 ..
Tundulissu is not puppet
Propaganda , Ccm in every election deals with creation of propaganda than manifestations .Absolutely not true,Tundu A. Lissu is really Puppet.
1.Uwepo wa Back up ya Wazungu .
Uwepo wa back up ya wazungu kwa kwa Tundu Lissu inaonesha moja kwa moja wanasaidia mtu wanaemtumia.Kila kinachotokea Tanzania (upande wa T.Lissu) basi hawa mabwana Wamekuwa Mstari wa Mbele kumkingia kifua na kumtetea hata pale anapovunja sheria.
2.Uwepo wa Robert Amsterdam.
Historia yake inajieleza yenyewe kumuhusu huyu jamaa.Na Tunaona alichokifanya kipindi hicho katika mataifa kadhaa anaenda kukufanya Tanzania kupitia Kivuli|Akili|upumbavu wa Tundu Lissu kibaraka wake.
3.Kutohubiri amani katika nchi yake.
T.L amekuwa mgombea pekee ambae yupo mstari wa Mbele kutafuta political Violence hata kuishinda ile kiu ya kuomba kura Wananchi wa kitanzania.
Na hapa tunaona katika hawa Mataifa Mengi hawa jamaa hutafuta mtu atakae anzisha vurugu za kisiasa ili wapate upenyo kwa Mgongo wa haki.Kumbe Wanataka kuivuna nchi.
4.Kusapport Mambo ya kishoga.
Maadili na sheria ya Tanzania hairuhusu kabisa vitendo hivi viovu..Hata misingi ya kiimani ya dini zetu imekataa pia.HATA T.LISSU natambua anajua.
Lakini kwa kuwa yupo under influence ya hawa mabwana(wazungu) inabidi akubaliane nao tu.(kwa hili atapata Laana sana na Miungu ya Kiafrika).
Kuweni Makini Ndugu zangu, TUNDU A.LISSU ni kibaraka wa Wazungu.
Na ni Msaliti(traitor) mkubwa wa nchi yake.
Pia hata wewe umekosea hizo ni lugha za watu.to seek medical treatment but not help.Unatuabisha na hicho kilugha chako
To sought ndio nini sasa
Sema to seek medical help not to sought ..........
Mhhhh napita tu hapa.Seek and sougth have the same meaning..
Tufundishane tu humu ndani Naona tumesahau matumizi ya past na present simpleJamani tuandike Kiswahili ili tueleweke. ....to seek... SIYO ....to sought... Otherwise, nakubaliana na wewe.
Unayatumia wakati gani? Twendeni la lugha yetu Kama unakimudu twende kazi.True ...sought is past tense of seek[emoji736]
Hayawezi kuwa the same hizo st kayumba ni shida.jana na leo ni sawa?Ahaaa wazee PhD fake hamjui chochote sought and seek are the same words
Google mkuu mbona unapata shida?Sought ni past tense na past participal ya seek mkuu
Ni google nn asee hayo maneno yanamaana sawa ila nyakati ndo tofauti... Kwa past tense ya seek ni ipi buddy.
Mm sijawahi sikia hicho kingereza.we can't allowing!Umeshauriwa utumie lugha ya kiswahili, Mkuu. Utaporomosha lugha za kuudhi jukwaani bila kujua, Mkuu.
Typo + Grammatically flawn!!Don't expose ur condemn better to ask for Swahili version.