PostGE2025 Tundu Lissu: Wote waliohusika na mauaji ya watanzania lazima wawajibike au wawajibishwe

PostGE2025 Tundu Lissu: Wote waliohusika na mauaji ya watanzania lazima wawajibike au wawajibishwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Nilisema humu kuwa hakutakuwa na Msalia mtume wala nini.

Tatizo mmeua sana Ndugu zetu, mmeua Sanaa.

Hamjaishia kuua, Mmezika kwa Halaiki, haikutosha, Mmechoma Miili ya Ndugu zetu.

Oaaaa unyama mloufanya kwa Taifa hili, NI LAZIMA TUTAWANYONGA, TUTAWAFUNGA NA TUTAWAFILISI TU.

1000519645.jpg
1000519646.jpg
1000519647.jpg
1000519648.jpg
 
Awajibishwe yeye aliyeahidi kukinukisha pasikalike
Kwa Sheria zip? Au unadhan Sheria za kimataifa ni sawa na katiba ya Chama? Kuna watu wataenda kukaa kwenye magereza la mali,wengne boknafaso ,wengne labda magereza ya Iran na Iraq na walkua viongoz ICC is coming ,na bila shaka na ww ni mnufaika wa damu za watu na mateso
 
Back
Top Bottom