Hivi huyu Werema AG (SIC!), akisikia jambo kutoka kwa LS kwanini asijiridhishe kwa kufanya ka UTAFITI kidogo kuliko ku opt kumtukana LS?
Sasa hivi hata Idara ya mahakama inamchukia Werema, pale alipopinga hoja ya TL, kwamba budget ya mahakama itolewa in percetange 3%? au 2%, kama ilivyo Bunge na Vyama vya siasa hiyo ingesaidia kuondoa ukata ktk idara ya mahakama. Lakini Werema akapinga kwa HOJA YA NGUVU! As usual Magamba wenzake waka mu support. Idara ya mahakama inaona CDM wana VISION kuliko CCM!
Mkuu, Elimu ya tz. wameikolokochoa na kuondoa U-stereo wote, elimu inakoroma mziki wake haueleweki kabisa!!
Kama ndio Hivyo basi Watende Haki na Mungu atakuwa Upande Wao!! Ila kwa issue ya kuwa na Majaji wasiokuwa na hata Vyeti vya elimu Hiyo sasa ni soo!!
uko sahihi kaka,gpa za tumaini kimeo,nimesoma nao law skul,wengi wanababaisha tu.
kamuulize ex-cj samatta kilichompata kwa kuajiri tumaini graduate wengi kwa kigezo cha gpa kati ya 2000-2006, ndio utaiona hoja yangu imelala wapi.....weredi wa taaluma kama sheria unapaswa uangaliwe kwa angle nyingi zaidi.....tunashukuru mahakama na hata pale kwa ag waliligundua hilo ingawa kwa kuchelewa na ndio maana intake ya 2005-06 mahakama walienda beyond gpa na kujikuta wamepata watu sahihi kwa kazi zao. Bado udsm wako vizuri zaidi ya vyuo vyote tanzania ktk sheria hilo halihitaji zama za mwalimu wala kikwete. All in all ninasali kada hii ya kulinda na kuhifadhi haki na sheria za umma itawaliwe na watu makini, wenye weledi,wanopenda kujifunza na waogopa mungu japo kwa asilimia fulani; si dhambi muhimili ukaendesha kampeni ya kuwachunguza wanafunzi wa kada hii vyuoni sasa, mafunzoni na kujua nani ni nani kabla ya kuajiri tu kwa sababu soko ni huru!!!hapo nchi itakuwa salama maana taifa lisilo na haki ni mfu.wewe umepitwa na wakati udsm ilikuwa zamani enzi tulizosoma za mwalimu. Kigezo katika ajira kama ni graduate anatakiwa iwe sawa lakini si kuangalia ametoka chuo gani.vyuo vikuu vingi graduate wengi siku hizi wanachakachua kwenye mtihani ili kupata gpa nzuri .unakuta mtu ni graduate ana gpa nzuri ila uwezo hata wa kujieleza na kuongea kiingereza sahihi ni wa kubahatisha pia hata kufundishika kwenye kazi wanapoajiriwa mara ya kwanza inakuwa ngumu sana.
kamuulize ex-cj samatta kilichompata kwa kuajiri tumaini graduate wengi kwa kigezo cha gpa kati ya 2000-2006, ndio utaiona hoja yangu imelala wapi.....weredi wa taaluma kama sheria unapaswa uangaliwe kwa angle nyingi zaidi.....tunashukuru mahakama na hata pale kwa ag waliligundua hilo ingawa kwa kuchelewa na ndio maana intake ya 2005-06 mahakama walienda beyond gpa na kujikuta wamepata watu sahihi kwa kazi zao. Bado udsm wako vizuri zaidi ya vyuo vyote tanzania ktk sheria hilo halihitaji zama za mwalimu wala kikwete. All in all ninasali kada hii ya kulinda na kuhifadhi haki na sheria za umma itawaliwe na watu makini, wenye weledi,wanopenda kujifunza na waogopa mungu japo kwa asilimia fulani; si dhambi muhimili ukaendesha kampeni ya kuwachunguza wanafunzi wa kada hii vyuoni sasa, mafunzoni na kujua nani ni nani kabla ya kuajiri tu kwa sababu soko ni huru!!!hapo nchi itakuwa salama maana taifa lisilo na haki ni mfu.
Kwanza nashangaa hadi muda huu uchambuzi wa majaji vihiyo katika ushahidi wake aliotoa kamati ya maadili ya Bunge haupo hapa hadi muda huu. Ushahidi mzima unapatikana gazeti la leo la jamhuri ngoja niangalie uwezekano wa ku scan. Ukilisoma lote utakubaliana na mimi Tundu Lissu ni kati ya Watanzania wachache sana (rare breed) wanaothubutu kusema yale ambayo wengine hawathubutu. Hongera sana Lissu, mwanamapinduzi