Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Umechanganya mafaili mzee hapa ni Boma Ng'ombe Kilimanjaro 📍tunamkesha wa mwenyekiti 🐼🍺Boma ng'ombe au Boma la ng'ombe
Hiyo ni Kilolo na Hai Bwashee 😄🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechanganya mafaili mzee hapa ni Boma Ng'ombe Kilimanjaro 📍tunamkesha wa mwenyekiti 🐼🍺Boma ng'ombe au Boma la ng'ombe
Hiyo ni Kilolo na Hai Bwashee 😄🐼
Haichekeshi.Tuko hapa Boma Ng'ombe huku kila mtu anasema ni mitano tena kwa Mbowe🐼
Hapo ndipo penye Kona ya tatizoKwa bar na online Lissu ana watu wengi ambao sio wapiga kura, ila hapa Mlimani City ambao ndio wajumbe wapiga kurq 65% ni Mbowe tupu
Najua unàmkubaliItabidi niwepo hapa hadi Mshindi atangazwe Maana hakuna namna
Hamasa ni kubwa sana kama vile tunaiangalia mechi ya football
Lisu ametisha sana 😂
HahahaaaUmechanganya mafaili mzee hapa ni Boma Ng'ombe Kilimanjaro 📍tunamkesha wa mwenyekiti 🐼🍺
Nafikili mpaka sasa utakuwa huwamini kilichotokeaKwa bar na online Lissu ana watu wengi ambao sio wapiga kura, ila hapa Mlimani City ambao ndio wajumbe wapiga kurq 65% ni Mbowe tupu