Tundu Lisu: Kuna Uchafu wa Chadema nikiusema hapa Chama kitasambaratika na wote watakimbia!

Tundu Lisu: Kuna Uchafu wa Chadema nikiusema hapa Chama kitasambaratika na wote watakimbia!

Endelea kutunza hizo siri usisambaratishe chama, kuna watu bado wanamatumaini wanaona Chadema ndio mbadala wa ccm.
Kama kuna mtu anaona chadema ni mbadala wa ccm,atakuwa mwendawazimu tu.
Hadi sasa nimejiridhisha kuwa hiki chama kama vilivyo vingine ni magenge ya wasaka tonge tu na hakuna hata mmoja mwenye uchungu na nchi .

Wote ni wabinafsi waliojaa tamaa tu ya mali na uchu wa madaraka
 
Hee yamekua hayo tena
1737143842277.jpg
 
Sijui nikaendelee na kazi yangu ili lissu (FIAT) aingie ikulu for must be. let me check for... somethng loading
 
Tundu Lisu amesema yeye siyo Mropokaji ndio sababu Kuna Siri Kuu za Chadema na Uchafu wake amezihifadhi moyoni

Lisu amesema SIRI hizo alizisema Kwenye kamati Kuu na zimerekodiwa ila wanaogopa kuwaambia wanachama

Source Star tv
Alishindwa Slaa itakuwa yeye? Kama alivyothibitosha kuwa Slaa ni muongo hata yeye ni muongo na mhuni!!
 
Back
Top Bottom