Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu amenikumbusha hadithi ya "Heri Mimi Sijasema"! Ahahahahaha!!!Sasa si ni bora angekaa kimya tu kama hawezi kuzisema….
Amina Chifupa ( R.I.P), alitishia nyau vile vile!!Huwezi weka mayai yote kwenye kapu moja kama una akili timamu na IQ kubwa.
Mwambie Mnyika aachie clip kama KESI ya ugaidi haijafufuka 🐼Aache fix, hivi Msigwa angeziacha salama kweli hadi leo .maana alikuwa senior member wa Kamati Kuu.
Ndio ana prove sasa sio mropokajiSawa, basi angeyaacha huko huko kama hayuko tayari kusema hadharani.
Tundu Lissu anaibatiza Tanzania kwa Ubatizo wa MotoTundu Lisu amesema yeye siyo Mropokaji ndio sababu Kuna Siri Kuu za Chadema na Uchafu wake amezihifadhi moyoni
Lisu amesema SIRI hizo alizisema Kwenye kamati Kuu na zimerekodiwa ila wanaogopa kuwaambia wanachama
Source Star tv
Niliwambia Lissu ana siri nyingi sana za Nchi hii.Ndio ana prove sasa sio mropokaji
Wasiotaka Lissu ni wale wezi na watekaji maana siku zao zinakaribia mwishoCCM wanataka Lissu ashinde.
Amandla...
Kwa hiyo Mbowe, Wenje, Martin, Ntobi, Yericko na wengine ni wezi na watekaji?Wasiotaka Lissu ni wale wezi na watekaji maana siku zao zinakaribia mwisho
Sema tu kijana wetu, tutakupa ulinzi wa kutosha.Tundu Lisu amesema yeye siyo Mropokaji ndio sababu Kuna Siri Kuu za Chadema na Uchafu wake amezihifadhi moyoni
Lisu amesema SIRI hizo alizisema Kwenye kamati Kuu na zimerekodiwa ila wanaogopa kuwaambia wanachama
Source Star tv
Endelea kubomoa chama nawe hupati kitu Cha ziada.Tundu Lisu amesema yeye siyo Mropokaji ndio sababu Kuna Siri Kuu za Chadema na Uchafu wake amezihifadhi moyoni
Lisu amesema SIRI hizo alizisema Kwenye kamati Kuu na zimerekodiwa ila wanaogopa kuwaambia wanachama
Source Star tv