johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa si ni bora angekaa kimya tu kama hawezi kuzisema….Tundu Lisu amesema yeye siyo Mropokaji ndio sababu Kuna Siri Kuu za Chadema na Uchafu wake amezihifadhi moyoni
Lisu amesema SIRI hizo alizisema Kwenye kamati Kuu na zimerekodiwa ila wanaogopa kuwaambia wanachama
Source Star tv
Mpaka sasa:Lisu amesema SIRI hizo alizisema Kwenye kamati Kuu na zimerekodiwa ila wanaogopa kuwaambia wanachama
Huwezi weka mayai yote kwenye kapu moja kama una akili timamu na IQ kubwa.Sasa si ni bora angekaa kimya tu kama hawezi kuzisema….
Amezisema alipoitwa Kwenye Kamati KuuSasa si ni bora angekaa kimya tu kama hawezi kuzisema….
Sawa, basi angeyaacha huko huko kama hayuko tayari kusema hadharani.Amezisema alipoitwa Kwenye Kamati Kuu
Uwage unaelewa 😂
Kama kuna mtu anaona chadema ni mbadala wa ccm,atakuwa mwendawazimu tu.Endelea kutunza hizo siri usisambaratishe chama, kuna watu bado wanamatumaini wanaona Chadema ndio mbadala wa ccm.
Labda kaamua kutengeneza attention tu mkuuSasa si ni bora angekaa kimya tu kama hawezi kuzisema….
Alishindwa Slaa itakuwa yeye? Kama alivyothibitosha kuwa Slaa ni muongo hata yeye ni muongo na mhuni!!Tundu Lisu amesema yeye siyo Mropokaji ndio sababu Kuna Siri Kuu za Chadema na Uchafu wake amezihifadhi moyoni
Lisu amesema SIRI hizo alizisema Kwenye kamati Kuu na zimerekodiwa ila wanaogopa kuwaambia wanachama
Source Star tv
Chama kitakufa Hapo Hapo 😂😂Lissu hajataka kusema kuwa mbowe ndie aliyehusika kwenye lile tukio la Dodoma 😂
Kuna tatizo kubwa,maneno yamekuwa mengi.Sioni chama kikitibu majeraha.Chama kitakufa Hapo Hapo 😂😂
CCM wanataka Lissu ashinde.CCM wamekaa pembeni na popcorn wanaenjoy the show huku wakifunga kwa maombi Lissu asipite
Sasa si ni bora angekaa kimya tu kama hawezi kuzisema…kase