Tundu Lisu ni Mtetezi wa taifa la Palestine na Hamas ndio Washindi Kwa sababu Israel imeshindwa kuokoa Mateka wake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nakumbuka namna Tundu Lisu alivyoufafanua mgogoro wa Palestine na Israel kupitia Hamas na IDF na kusoma mwishoni Hamas wataibuka Washindi

Na Kweli Hamas ni Washindi Kwa sababu Israel imetii kuachilia Wafungwa wa kipalestina Ili mateka Wao waachiwe Kwa ratio ya Muisrael 1 : Wafungwa 30

Sabato Njema
 
Unashindaje vita wakat umepoteza idadi kubwa ya wananchi, mali na umeharibu uchumi wa nchi yako

Sema hivi israel haijatimiza marengo yake ila sio imeshindwa vita

Iv kati ya israel na hamas na wananchi wa gaza nani kapoteza sana
Israel kapoteza wanajeshi na kiasi flan cha pesa
Ila wananchi wa gaza na serikal ya hamas wamepoteza kila kitu Mali,uhai,afya,elimu,uchumi na kila kitu kinachofanya maisha ya binadam kua rahisi

Zaidi ya watu 100,000 wa gaza wameuawa au kujeruhiwa so ata wakibadilishana wafungwa 100 kwa mateka 10 bado israel kashinda na bado israel anauwezo wa kurudi gaza na kuwashika tena hao wafungwa ama kuwauwa kabsa
 
Msingi wa Utekaji ni kuswap Mateka na Wafungwa wa kipalestina

Msingi wa Vita ni Israel kuokoa Mateka bila kuswap

Nani Mshindi hapo?
 
Msingi wa Utekaji ni kuswap Mateka na Wafungwa wa kipalestina

Msingi wa Vita ni Israel kuokoa Mateka bila kuswap

Nani Mshindi hapo?
Hamas kashinda vita aisee,kwa namna navyoona uchangamfu wao wakati wakikabidhi mateka na upole wa Israel wakati wakikabidhi mateka naona kabisa Hamas ndo mshindi dhidi ya Mazayuni.Once again uislam umeshinda dhidi ya makafiri.Takbir.......
 
Kuunga mkono hamas inatosha kumfanya kuwa mtu aliyelaamiwa
 
Hamas kashinda vita aisee,kwa namna navyoona uchangamfu wao wakati wakikabidhi mateka na upole wa Israel wakati wakikabidhi mateka naona kabisa Hamas ndo mshindi dhidi ya Mazayuni.Once again uislam umeshinda dhidi ya makafiri.Takbir.......
Wenye vicheko ni magaidi kilo kiko kwa raia waliouliwa na makazi yao kuwa vifusi
 
Na hao HAMAS uwezo wao wa kuwateka wa Israel umefika mwisho?
 
Lisu ni mbumbumbu kwenye masuala ya kimataifa. Huwezi kuwa na akili timamu ukaunga mkono magaidi ya kipalestina
 
Ni Kweli kabisa Palestine wameshinda vita ila hawana pa kuishi, adui amebomoa nyumba zote!

Sasa ushindi huo uangaliwe Kwa makini.
 
Msingi wa Utekaji ni kuswap Mateka na Wafungwa wa kipalestina

Msingi wa Vita ni Israel kuokoa Mateka bila kuswap

Nani Mshindi hapo?
Unamaanisha kuwa hao wafungwa wa kiparestina wana thamani ya hao watu zaidi ya 100,000 waliokufa??

Hao wafungwa wa kiparestina wana thamani wa uharibifu wa mji wa Gaza ulioharibiwa vibaya.....
 
Unamaanisha kuwa hao wafungwa wa kiparestina wana thamani ya hao watu zaidi ya 100,000 waliokufa??

Hao wafungwa wa kiparestina wana thamani wa uharibifu wa mji wa Gaza ulioharibiwa vibaya.....
Watu 100,000 wasio Wanajeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…