Tundu antipasi Lisu amekuwa mwiba na mkali kweli kweli kwenye siasa za Tanzania
Ukali wake huo mpaka rais wa nchi mama Samia Suluhu Hassani akaamuru SIMBA mmoja machachari mbugani kuitwa jina la Tundu Lisu
Kwa umachachari wake huo Tundu Lisu namfananisha na pombe kali inayoitwa "Kisimati Jini" pombe hii ni kali sana hivyo ukali wa Lisu unafanana na kisimati jini
Sitakuwa nimekosea nikimuta Lisu Kisimati Jini
Comasama Tundu Lisu