Uzi tayari....Tundu antipasi Lisu amekuwa mwiba na mkali kweli kweli kwenye siasa za Tanzania
Ukali wake huo mpaka rais wa nchi mama Samia Suluhu Hassani akaamuru SIMBA mmoja machachari mbugani kuitwa jina la Tundu Lisu
Kwa umachachari wake huo Tundu Lisu namfananisha na pombe kali inayoitwa "Kisimati Jini" pombe hii ni kali sana hivyo ukali wa Lisu unafanana na kisimati jini
Sitakuwa nimekosea nikimuta Lisu Kisimati Jini
Comasama Tundu Lisu
Huyu Mwamba ameshakuwa Rais tangu kitambo tu. Tunasubiri Tume kutoka Mbinguni Imtangaze tuTundu antipasi Lisu amekuwa mwiba na mkali kweli kweli kwenye siasa za Tanzania
Ukali wake huo mpaka rais wa nchi mama Samia Suluhu Hassani akaamuru SIMBA mmoja machachari mbugani kuitwa jina la Tundu Lisu
Kwa umachachari wake huo Tundu Lisu namfananisha na pombe kali inayoitwa "Kisimati Jini" pombe hii ni kali sana hivyo ukali wa Lisu unafanana na kisimati jini
Sitakuwa nimekosea nikimuta Lisu Kisimati Jini
Comasama Tundu Lisu
Bado 😄 🤣 😂Uzi tayari....
Anaivuruga nchi mahakama, bunge na Chama chake pia huyu mwambaHuyu Mwamba ameshakuwa Rais tangu kitambo tu. Tunasubiri Tume kutoka Mbinguni Imtangaze tu
Na amenyooka kama rula, hahongeki!Huyu ndiye mwanaume pekee mwenye uwezo wa kupigania mageuzi ya kweli Tanzania.
Huyu ndiye mwanaume pekee mwenye uwezo wa kupigania mageuzi ya kweli Tanzania.