johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema ukisoma sheria ya Vyama vya Siasa utagundua Msajili wa Vyama vya Siasa hana nguvu yoyote ya kuishughulikia CCM kwa sababu haikusajiliwa na ofisi yake
Lisu amesema CCM ilisajiliwa kwa sheria ya mkoloni wakati ikiwa TANU na ndivyo ilivyo hadi Leo ila Vyama vya upinzani ndio vimesajiliwa na Msajili huyu wa 1992
Credit: ITV
Lisu amesema CCM ilisajiliwa kwa sheria ya mkoloni wakati ikiwa TANU na ndivyo ilivyo hadi Leo ila Vyama vya upinzani ndio vimesajiliwa na Msajili huyu wa 1992
Credit: ITV