johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yule Mtangazaji ametulia sana na hanaga papara kama Chief Odemba πππNimeangalia kipindi jana, Lissu ni kichwa sn anajibu anatoa na reference unatamani kipindi kisiishe
Odemba yupo vizuri mwenye papara kuna kjamaa kanaitwa aloyce nyanda wa star tv..Yule Mtangazaji ametulia sana na hanaga papara kama Chief Odemba πππ
Hakuna mtu hapo, Odemba ni level za BBC jamaa huwa anatendea haki kipindi chake, Farhia ni kucheka kucheka na kuonyesha mapacha kama ya tembo basiYule Mtangazaji ametulia sana na hanaga papara kama Chief Odemba πππ
Ni shirika la matapeli na majangili ya mali za ummaCCM siyo chama cha siasa kifutwe kushiriki kazi za kisiasa. Inawezekana CCM ni shirika la serikali!
Odemba ni balaa na nusuOdemba yupo vizuri mwenye papara kuna kjamaa kanaitwa aloyce nyanda wa star tv..
Aisee kana wenge alafu kanajiona kajuaji
Level za BBC ni KikekeHakuna mtu hapo, Odemba ni level za BBC jamaa huwa anatendea haki kipindi chake, Farhia ni kucheka kucheka na kuonyesha mapacha kama ya tembo basi
Huyu chogo naye ni mtangazaji? hahahahaha Odemba hata Kikeke akasomeLevel za BBC ni Kikeke
Odemba ni level ya Maulid Kitenge ππ
Odemba alishindwa kumhoji Tundu Antipas Lisu akaishia kumkatizakatiza tu asiweze kutiririkaHuyu chogo naye ni mtangazaji? hahahahaha Odemba hata Kikeke akasome
Tuongee ukweli nani anaweza kuuliza maswali bila kuuma uma kama Odemba?Sijamdharau ila sitaki kumuoverrate πππ
Kikeke na CyprianTuongee ukweli nani anaweza kuuliza maswali bila kuuma uma kama Odemba?
Simba Lissu. π πNimeangalia kipindi jana, Lissu ni kichwa sn anajibu anatoa na reference unatamani kipindi kisiishe
Labda Kikeke kwa mbali, huyu hajui hata anafanya nini bora ya Samson Charles wa EATVKikeke na Cyprian
Tumpe maua ake akiwa haiSimba Lissu. π π
Kabisa !Tumpe maua ake akiwa hai