Tundu Lussu ilikuwa tamaa tu ya madaraka ataendesha siasa sawa na za Mbowe vinginevyo hatoboi

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Huyu Tundu Lissu ni mwanasiasa mwenye uchu sana na madaraka na ninawasi wasi na jinsi alivyomtuhumu Mbowe kuendesha siasa za maridhiano kama kweli ilitoka moyoni au alitaka kupata uungwaji wa mkono na watu wa aina ya mdude ambao wengi wamo CHADEMA.

Mimi si mwanachadema ila kuna wakati nilivutiwa na chadema hususan kipindi kile wakitoa hoja maridhawa zilizoashiria chama kiko tayari kuleta sera mbadala za kuiongoza nchi hii.Kipindi kile kuna mijadala ya afya sana wakati wa jambo forum hadi jamii forums ya awali.

Hakukuwa na siasa zinazochochea mifarakano na uasi.Kulikuwa na watu watulivu wenye hoja na hata wana CCM waliwakubali na kuona kweli nchi ina hazina ya watu wanaoweza kuaminiwa.

Heche ninamwamini sana kwa kuwa nimemfuatilia ni mtu mwenye hekma sana licha ya misimamo yake mikali.Misimamo yenye mantiki ikiwa mikali,haina madhara.

Huyu Tundu Lissu hana na hajui mbinu za kushinda mapambano na hivyo anaweza kuleta madhara makubwa tu yasiyo ya lazima kutokana na misimamo ya ubishi na ukaidi usiozingatia mantiki.

Yuko tayari nchi itengwe kimataifa na kushawishi misaada isitishwe,watu wa chini wateseke,ili mradi aionyeshe dunia kuwa ccm ni mbaya wakati yeye na familia yake wakiishi vizuri.

Kiongozi wa jinsi hii hafai na kama atastuka na kujitambua,lazima afuate njia za Mbowe na kukubali maridhiano.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Tundu Lissu ni mwanasiasa mwenye uchu sana na madaraka na ninawasi wasi na jinsi alivyomtuhumu Mbowe kuendesha siasa za maridhiano kama kweli ilitoka moyoni au alitaka kupata uungwaji wa mkono na watu wa aina ya mdude ambao wengi wamo chadema.

Mimi si mwanachadema ila kuna wakati nilivutiwa na chadema hususan kipindi kile wakitoa hoja maridhawa zilizoashiria chama kiko tayari kuleta sera mbadala za kuiongoza nchi hii.Kipindi kile kuna mijadala ya afya sana wakati wa jambo forum hadi jamii forums ya awali.
Hakukuwa na siasa zinazochochea mifarakano na uasi.Kulikuwa na watu watulivu wenye hoja na hata wana ccm waliwakubali na kuona kweli nchi ina hazina ya watu wanaoweza kuaminiwa.

Heche ninamwamini sana kwa kuwa nimemfuatilia ni mtu mwenye hekma sana licha ya misimamo yake mikali.Misimamo yenye mantiki ikiwa mikali,haina madhara.

Huyu Tundu Lissu hana na hajui mbinu za kushinda mapambano na hivyo anaweza kuleta madhara makubwa tu yasiyo ya lazima kutokana na misimamo ya ubishi na ukaidi usiozingatia mantiki.
Yuko tayari nchi itengwe kimataifa na kushawishi misaada isitishwe,watu wa chini wateseke,ili mradi aionyeshe dunia kuwa ccm ni mbaya wakati yeye na familia yake wakiishi vizuri.

Kiongozi wa jinsi hii hafai na kama atastuka na kujitambua,lazima afuate njia za Mbowe na kukubali maridhiano.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mwenye uchu ni Lissu au aliyekuwa amekaa madarakani miaka 21?.
Kuna watu vichwa vyenu mnavitumia
kufanya vitu vya kijinga tu.
 
Huyu Tundu Lissu ni mwanasiasa mwenye uchu sana na madaraka na ninawasi wasi na jinsi alivyomtuhumu Mbowe kuendesha siasa za maridhiano kama kweli ilitoka moyoni au alitaka kupata uungwaji wa mkono na watu wa aina ya mdude ambao wengi wamo CHADEMA.

Mimi si mwanachadema ila kuna wakati nilivutiwa na chadema hususan kipindi kile wakitoa hoja maridhawa zilizoashiria chama kiko tayari kuleta sera mbadala za kuiongoza nchi hii.Kipindi kile kuna mijadala ya afya sana wakati wa jambo forum hadi jamii forums ya awali.

Hakukuwa na siasa zinazochochea mifarakano na uasi.Kulikuwa na watu watulivu wenye hoja na hata wana CCM waliwakubali na kuona kweli nchi ina hazina ya watu wanaoweza kuaminiwa.

Heche ninamwamini sana kwa kuwa nimemfuatilia ni mtu mwenye hekma sana licha ya misimamo yake mikali.Misimamo yenye mantiki ikiwa mikali,haina madhara.

Huyu Tundu Lissu hana na hajui mbinu za kushinda mapambano na hivyo anaweza kuleta madhara makubwa tu yasiyo ya lazima kutokana na misimamo ya ubishi na ukaidi usiozingatia mantiki.

Yuko tayari nchi itengwe kimataifa na kushawishi misaada isitishwe,watu wa chini wateseke,ili mradi aionyeshe dunia kuwa ccm ni mbaya wakati yeye na familia yake wakiishi vizuri.

Kiongozi wa jinsi hii hafai na kama atastuka na kujitambua,lazima afuate njia za Mbowe na kukubali maridhiano.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ni juu ya ccm kuonyesha sio mbaya, sio mpore uchaguzi kisha mtake Lisu aionyeshe dunia kuwa ccm ni wazuri. Wekeni uchaguzi wa haki kama ule wa cdm, kisha matokeo ya haki yatokee uone kama Lisu ataongea anachoongea.
 
Huyu Tundu Lissu ni mwanasiasa mwenye uchu sana na madaraka na ninawasi wasi na jinsi alivyomtuhumu Mbowe kuendesha siasa za maridhiano kama kweli ilitoka moyoni au alitaka kupata uungwaji wa mkono na watu wa aina ya mdude ambao wengi wamo CHADEMA.

Mimi si mwanachadema ila kuna wakati nilivutiwa na chadema hususan kipindi kile wakitoa hoja maridhawa zilizoashiria chama kiko tayari kuleta sera mbadala za kuiongoza nchi hii.Kipindi kile kuna mijadala ya afya sana wakati wa jambo forum hadi jamii forums ya awali.

Hakukuwa na siasa zinazochochea mifarakano na uasi.Kulikuwa na watu watulivu wenye hoja na hata wana CCM waliwakubali na kuona kweli nchi ina hazina ya watu wanaoweza kuaminiwa.

Heche ninamwamini sana kwa kuwa nimemfuatilia ni mtu mwenye hekma sana licha ya misimamo yake mikali.Misimamo yenye mantiki ikiwa mikali,haina madhara.

Huyu Tundu Lissu hana na hajui mbinu za kushinda mapambano na hivyo anaweza kuleta madhara makubwa tu yasiyo ya lazima kutokana na misimamo ya ubishi na ukaidi usiozingatia mantiki.

Yuko tayari nchi itengwe kimataifa na kushawishi misaada isitishwe,watu wa chini wateseke,ili mradi aionyeshe dunia kuwa ccm ni mbaya wakati yeye na familia yake wakiishi vizuri.

Kiongozi wa jinsi hii hafai na kama atastuka na kujitambua,lazima afuate njia za Mbowe na kukubali maridhiano.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Maridhiano sio jambo baya, ubaya ni kudanyanywa, mnaridhiana hukuvmnaibiwa uchaguzi mchana kweupe, watu wenu wanatekwa kama mbuzi
 
Vip mmeanza kuwa mama jusi
 
..achaneni na Tundu Lissu.

..tunataka Tume Huru kabla uchaguzi mkuu haujafanyika.
 
Mambo ya CHADEMA tuachie wenyewe wana CHADEMA. Mnabaka uchaguzi halafu mnaogopa kushtakiwa kimataifa. Safari hii mnalo.
 
Back
Top Bottom