Utakatifu na haki
Member
- Jun 17, 2020
- 75
- 268
Chadema mtawapa nini watanzania, ili hali wenyewe kichwani ni matusi na upigaji tu. Kwa watu wanaoona mbali, wanakiri Chama cha Mbowe sio cha kukipa uongozi kwenye nchi hii milele.Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
raia washaelimika now.. kama amesota kwa longtime bila maji asha adapt tayari.. kwa iyo umtishie????????.wenzako wakina mama wanataka maji.
wewe nenda kawaambie habari za uhuru wa maoni.kama utaeleweka.
Hayo hayo matusi si ndio yanawavutia watu kwani tatizo liko wapi?Chadema mtawapa nini watanzania, ili hali wenyewe kichwani ni matusi na upigaji tu. Kwa watu wanaoona mbali, wanakiri Chama cha Mbowe sio cha kukipa uongozi kwenye nchi hii milele.
chief unaharibu sasa, hivi hujui Magufuli ndiye RaisHabari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Tangu Uhuru hamjapeleka maji na wapo tu,kwanini magufuli hakupeleka maji anawatisha sasa,hii nchi ya vyama vingi na kila mtu analipa kodi hivyo kupeleka huduma sio ombi ni lazima serikali ipelekewenzako wakina mama wanataka maji.
wewe nenda kawaambie habari za uhuru wa maoni.kama utaeleweka.
Ni lini mmegundua kwamba wana Tunduma wanahitaji maji??wenzako wakina mama wanataka maji.
wewe nenda kawaambie habari za uhuru wa maoni.kama utaeleweka.
Ni lini mmegundua kwamba wana Tunduma wanahitaji maji??
Hata wakina mama wa Chato wanataka maji lakini hawana toka tupate Uhuru wameambulia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa na madege yamepark Dar badala ya Chato yawaletee wakina mama maji.wenzako wakina mama wanataka maji.
wewe nenda kawaambie habari za uhuru wa maoni.kama utaeleweka.
utakunywa tope hadi mwisho wa dunia, sasa sijui utakua umemkomoa nani, maana Lisu haishi Tunduma...wewe na familia yako ndo mnaishi Tunduma.Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Tunduma imekuwa chini ya upinzani kwa miaka kumi tu, je miaka hiyo mingine hamsini mllikuwa wapi kuwapelekea maji? Kuna mbunge alikuwa naibu Waziri kabisa lakini hamkupeleka maji. CCM ni wapumbavu sana na Sera zenu.utakunywa tope hadi mwisho wa dunia, sasa sijui utakua umemkomoa nani, maana Lisu haishi Tunduma...wewe na familia yako ndo mnaishi Tunduma.
usidanganyike chagua chama dola
Chadema itakuwa na maisha marefu kuliko wewe. Omba sana Mungu akupe uhai uone siku nchi itakapo ongozwa kwa ufanisi na Chadema. Sema AmeenChadema mtawapa nini watanzania, ili hali wenyewe kichwani ni matusi na upigaji tu. Kwa watu wanaoona mbali, wanakiri Chama cha Mbowe sio cha kukipa uongozi kwenye nchi hii milele.