Tunduma iko overrated, haipaswi kufananishwa na Mafinga wala Kahama

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Nimefika Tunduma jana nikashangaa sana imekuwaje hii sehemu ikafananishwa na eneo kama Kahama.

Tunduma haifiki hata nusu ya Mafinga. Huu mji upo too local na umejengwa kiholela. Nyumba nyingi ni duni sana.

Naweza kusema pia Mafinga ni robo tatu ya Kahama maana angalau pale pana viwango.
 
Tunduma inakuwezesha kufanya biashara na Zambia na Malawi ndani ya saa chache kwa kutumia baisikeli.
 
Umeandika 🚮🚮🚮

Usifananishe Tunduma na vitu vya kisengerema
 
utakuwa umefikishwa tunduma nyingine, ila ile ninayoifahamu mimi haujafika. au ulifika stand ukageuza. siku nyingien omba wenyeeji wakutembeze.
 
Sahihi kabisa
 
Tunduma naifaham kuanzia mpemba mpaka soko la kimataifa na msongwa,pale ndiyo sababu ya kutokezwa mkoa wa songwe,nilishangaa sana kujua tunduma Ina idadi kubwa ya watu kuliko Iringa manispaa,mafinga huwa napita tu ila nahisi ni pazuri kuliko tunduma,anaeijua hii miji miwili anisaidie kuitofautisha
 
Kuna tofauti Kati ya mji ulliojengeka na mji wenye mishe mishe.

Mafinga my home is beautiful council. Mafinga watu wamejenga jamani
Mafinga Huwa naona Kuna hali flani ya maisha,yani miundombinu,huduma za jamii na ubora wa maisha,afu pande zote mji umeshona kuanzia changarawe mpaka kinyanambo humo,hemu ongezea nyama hapo kwenye kulinganisha na tdm
 
Sijui unaongelea nini, labda Kama unaongelea mpangilio wa nyumba, lakini kufananisha mafinga na Tunduma kibiashara, fanya utafiti tena, mji wa Tunduma umechangamka muda wote
 
Sijui unaongelea nini, labda Kama unaongelea mpangilio wa nyumba, lakini kufananisha mafinga na Tunduma kibiashara, fanya utafiti tena, mji wa Tunduma umechangamka muda wote
Bro tunduma sio kwamba imechangamka muda wote,ni ukosefu tu wa miundombinu unafanya magari kubanana pale Kilimanjaro mpaka kisimani,kibiashara tunduma Ipo kawaida kama sehem nyengine tu labda za magendo,ila kwa mpangilio wa mji na standard ya maisha nahisi mafinga wanaizidi tunduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…