Tunduma iko overrated, haipaswi kufananishwa na Mafinga wala Kahama

Tunduma iko overrated, haipaswi kufananishwa na Mafinga wala Kahama

Tunduma mzunguko wa biashara upo kawaida bhana tuache kudanganyana,kwanza wazambia na wacongo weng wananyooka dar tofaut na zaman,halafu Kwacha imeshuka kishenzi saizi Yan Kwacha 100 ni sawa na 10200 au 10300
Wewe ni mfanyabiashara?.Ishu ya Kwacha kushuka ni suala la muda tu!,Tunduma ni lango la SADC hivi hulijui hilo?,Shauri yako kalia hapo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Tunduma kuwa lango la SADC haijaanza leo,ndio mm ni mfanyabiashara,nnauzoefu na tunduma huu mwaka wa 12
Hahaha hivi vitu vingine vya kukaa kimya asee hivi tunduma unaifananiaha na mafinga iliyojengeka upande mmoja yenye idadi ndogo ya watu kuliko halmashauri zote za miji ya nyanda za juu kisini muwe mnazunguka kidogo kwenye miji yani mafinga bado ndogo mno huwezi hata kulinganisha na makambako ni kubwa mno mafinga ukitoka changalawe hadi kinyanambo c km 14 mji umemaliza na umejengeka upande mmoja tu sehemu nyingine ni eneo la jeshi acheni story za kuhadithiwaMAFINGA TC
1703466525903.jpg
1703466556163.jpg
 
Kahama sijawai kufika,ila kulingana na sensa iliyopita ni kwamba idadi ya watu ni 453654,yani ujumlishe idadi ya mafinga na tunduma halafu uongeze tena laki moja na sehemu.Kwa mapato ya halmashauri ya wilaya ni ya pili kwa Tanzania,ya kwanza kinondoni,yapili kahama yatatu mafinga
Watu wanavolinganisha ukuaji wa miji ni muhimu kuzingatia geographical position imekaaje mfano kahama ni flat land sawa na mji wa makambako huwezi linganisha na tunduma Kuna vimilima vingi au mafinga KAHAMA MC
2018-01-31-1200x675.jpg
MAKAMBAKO TC
FB_IMG_16728517915595809.jpg
 
Back
Top Bottom