Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina
Bali sisi wengine tunaamini kwamba kwa vile Mungu si Athumani Basi kila Ubaya Utalipwa
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina
Bali sisi wengine tunaamini kwamba kwa vile Mungu si Athumani Basi kila Ubaya Utalipwa