Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
AminaAangaziwe mwanga mwororo na roho yake ipumzike kwa amani.π
Itaondoka na mama AbdulDamu yake haita enda Bure. Mark my words.
Hotuba nzuri inasaidia nini!??Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania.
View attachment 3165855View attachment 3165856
View attachment 3165858
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina
Bali sisi wengine tunaamini kwamba kwa vile Mungu si Athumani Basi kila Ubaya Utalipwa
Una umri gani?Hotuba nzuri inasaidia nini!??
Haya yote yana mwishoHotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania.
View attachment 3165855View attachment 3165856
View attachment 3165858
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina
Bali sisi wengine tunaamini kwamba kwa vile Mungu si Athumani Basi kila Ubaya Utalipwa
HakikaHaya yote yana mwisho
Huna akili kumbe na wewe...Una umri gani?
Malipo nihapahapa duniani wakati wa Magufuli mlisema maneno mengi mno kuonyesha alikuwa katili mno zaidi ya Idi Amin dictator, Sijui huyu mnamsemaji maana Magufuli aliwapola tu lakini hakuua mtu lakini huyu sio kuwapora tu na kuwaua na kawaua,endeleeni na 4R zenu tu,mle kuku kwa mrija maana dhalimu wenu hayupo πππ€£.Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania.
View attachment 3165855View attachment 3165856
View attachment 3165858
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina
Bali sisi wengine tunaamini kwamba kwa vile Mungu si Athumani Basi kila Ubaya
Atavuna anachopandaMalipo nihapahapa duniani wakati wa Magufuli mlisema maneno mengi mno kuonyesha alikuwa katili mno zaidi ya Idi Amin dictator, Sijui huyu mnamsemaji maana Magufuli aliwapola tu lakini hakuua mtu lakini huyu sio kuwapora tu na kuwaua na kawaua,endeleeni na 4R zenu tu,mle kuku kwa mrija maana dhalimu wenu hayupo πππ€£.