Malipo nihapahapa duniani wakati wa Magufuli mlisema maneno mengi mno kuonyesha alikuwa katili mno zaidi ya Idi Amin dictator, Sijui huyu mnamsemaji maana Magufuli aliwapola tu lakini hakuua mtu lakini huyu sio kuwapora tu na kuwaua na kawaua,endeleeni na 4R zenu tu,mle kuku kwa mrija maana dhalimu wenu hayupo 😆😂🤣.