Uchaguzi 2020 Tunduma: Polisi Wawapandisha Kizimbani Wagombea Udiwani wa CHADEMA, Wadaiwa kufanya Wizi kwa kutumia Silaha, mmoja akosa dhamana

HII NCHI SI MALI YENU NA ZAIDI HAMNA HATI MILIKI YA NCHI.Nchi iko kwenye Hali ya utilivu na Amani ila polisi mnataka vurugu itapakae jambo ambalo linawezekana Muda wote.wagombea wanaokamatwa na kunyanyanywa fomu ni wa upinzani,na zaidi wanapigwa na kuachiwa majeraha.ccm Mmeongoza kwa miaka 59+ na mlichowafanyia wananhi ni kuwafanya maisha yao kuwa magumu huku mkiwaAminisha Umaskini ni sifa.TUMECHOKA.TUTAPAMBANA MPAKA KIELEEKE
 
Kwanza kabisa karibu jf maana bado una ugeni wewe. Na bado una hiyo childish idea. Kama vurugu mnaweza fanyeni. Kwani nani asiyejua mna tabia ya kutekana na kwenye uchaguzi wa wagombea wenu mnakubaliana halafu baadae mnageukana?
 
mbona awakuwakamata kabla ya mchakato wa uchaguzi ili kuondoa shaka ya ukamataji wao
 
Kwanza kabisa karibu jf maana bado una ugeni wewe. Na bado una hiyo childish idea. Kama vurugu mnaweza fanyeni. Kwani nani asiyejua mna tabia ya kutekana na kwenye uchaguzi wa wagombea wenu mnakubaliana halafu baadae mnageukana?
Mamesho huu unyamaa unaukubali?na kama ndy unafaida gani kwako

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Haya mtamko mnaweka humu au huwa mnawaandikia na tume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…