Tunduma punguzeni vifo vya mbwa kungata watoto

Tunduma punguzeni vifo vya mbwa kungata watoto

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Kuanzia January ukiangalia unaweza sema Tunduma ni Rukwa ama Sumbawanga maana ndio mambo yao

Kwa mwezi kila mara lazima watoto wanakufa kwa kung'atwa na mbwa huko Tunduma

Juzi nimesikitika sana wanalalamika wananchi mtoto wa 8 kufa toka Februari mwaka huu

Na viongozi wameombwa kusaidia kuwaua hawa mbwa wanakuja wanatoa ahadi feki hawarudi tena

Mkuu wa mkoa embu angalia hilo maana bora wangekufa wazee wanakufa watoto tu haipendezi
 
Back
Top Bottom