Tunduma wabuni kutembea na pini ili wasiibiwe maumbile. Je, itasaidia?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Tunduma sasa kila mtu anatemvea na pini kama kinga. Inadaiwa pini ni Dawa ya kujikinga na hali inayoendelea hapo Tunduma kuhusu kuibiwa maumbile nyeti ya wanaume. Polisi washakanusha habari na kusema ni uzushi. Ila mtaani mambo ni tofauti. Nyeti zinapotea fasta sana. Yaani kufumba na kufumbua mzigo umeondoka
IMG-20260404-WA0021(1).jpg

IMG-20260404-WA0006.jpg

Tunduma ukihisiwa unaiba makagare ya watu jua umekwisha. Labda uokolewe na Polisi

Waache kulialia watoke wafanye kazi🤣kesho pasaka watatokaje bila kushikana mikono😁
 
Dar vijana kibao Wana pin na rubber band, tena sio moja wanavaa sehemu mbalimbali za mwili
 
Tunduma sasa kila mtu anatemvea na pini kama kinga. Inadaiwa pini ni Dawa ya kujikinga na hali inayoendelea hapo Tunduma kuhusu kuibiwa maumbile nyeti ya wanaume. Polisi washakanusha habari na kusema ni uzushi. Ila mtaani mambo ni tofauti. Nyeti zinapotea fasta sana. Yaani kufumba na kufumbua mzigo umeondoka
View attachment 3567349
Serikali itangaze hali ya hatari. Wananchi bila nyeti hawana cha kupoteza. Wataiondoa CCM madarakani.
 
Tunduma sasa kila mtu anatemvea na pini kama kinga. Inadaiwa pini ni Dawa ya kujikinga na hali inayoendelea hapo Tunduma kuhusu kuibiwa maumbile nyeti ya wanaume. Polisi washakanusha habari na kusema ni uzushi. Ila mtaani mambo ni tofauti. Nyeti zinapotea fasta sana. Yaani kufumba na kufumbua mzigo umeondoka
View attachment 3567349
Kinga ni bora kuliko tiba kila kwenye changamoto kuna fursa apo mmoja anaumia mwingine anafaidika

Watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa
 
Hizi propaganda na drama zote ni ili tusijadili kuhusu teuzi mpya, Chibaba kutembelea Ikulu na mfumuko wa bei ya mafuta.

Wenzetu wamesitisha tozo zote zinazohusu mafuta ili mfumuko usitokee, sisi huku tunakuja na propaganda za Pu.mbu...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom