figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Serikali itangaze hali ya hatari. Wananchi bila nyeti hawana cha kupoteza. Wataiondoa CCM madarakani.Tunduma sasa kila mtu anatemvea na pini kama kinga. Inadaiwa pini ni Dawa ya kujikinga na hali inayoendelea hapo Tunduma kuhusu kuibiwa maumbile nyeti ya wanaume. Polisi washakanusha habari na kusema ni uzushi. Ila mtaani mambo ni tofauti. Nyeti zinapotea fasta sana. Yaani kufumba na kufumbua mzigo umeondoka
View attachment 3567349
Mkuu hizo swaga sikilizia tu kwa mwenzio 🤣🤣Wauchukue tu, kikubwa waniachie sehemu ya kukojolea.
Kwanza dude lenyewe linatia hasara tu kulipia utelezi.
Mwishoe zitazungushiwa kiunoni 😆Dar vijana kibao Wana pin na rubber band, tena sio moja wanavaa sehemu mbalimbali za mwili
Kinga ni bora kuliko tiba kila kwenye changamoto kuna fursa apo mmoja anaumia mwingine anafaidikaTunduma sasa kila mtu anatemvea na pini kama kinga. Inadaiwa pini ni Dawa ya kujikinga na hali inayoendelea hapo Tunduma kuhusu kuibiwa maumbile nyeti ya wanaume. Polisi washakanusha habari na kusema ni uzushi. Ila mtaani mambo ni tofauti. Nyeti zinapotea fasta sana. Yaani kufumba na kufumbua mzigo umeondoka
View attachment 3567349