DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Lori lililobeba kontena lilikuwa limebeba shehena ya mbolea likitokea nchini Zambia kuelekea mkoani Dar es Salaam, ambalo lilikuwa ni Lori lenye Namba T564 EMG na trela Namba T800 DWA.
Ameongeza kuwa chanzo cha ajali ni dereva wa gari ndogo kusimama ghafla, Lori lilipojaribu kukwepa ndipo ajali ikatokea, na kwamba dereva wa Hiace amekimbia, Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta ili hatua za Kisheria zichukuliwe dhidi yake.
Amesema miili ya watu waliofariki imetambulika mitatu na iliyosalia bado jitihada za kuwatambua zinaendelea.