Tunduma: Yanayojiri kwenye uzinduzi wa Oparesheni 255 Kanda ya Nyasa, Freeman Mbowe aongoza Mashambulizi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama tulivyoahidi hapo Awali , kwamba tutawaletea kila kinachojiri kwenye Uzinduzi huu , na hivi ndivyo tunavyofanya .

Baada ya kuwasili kwenye Kanda hiyo , Mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar Mbowe aliweka Saini kwenye Kitabu cha Wageni kwenye ofisi ya Kanda hiyo , Kabla ya kukinukisha Mjini Tunduma .


Usiondoke JF kwa vile kuna Makubwa yanakuja .
========
Mapokezi ya Mbowe Tunduma

Hali ndio hii hapa
 
Miamba iko kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…