Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Kila siku siyo JumapiliUtaelewa 2025, October 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku siyo JumapiliUtaelewa 2025, October 😂
Katiba ni ile ileKila siku siyo Jumapili
Amesilimu sio awamu ya sita ni kiboko kwa asali!Kama tulivyoahidi hapo Awali , kwamba tutawaletea kila kinachojiri kwenye Uzinduzi huu , na hivi ndivyo tunavyofanya .
Baada ya kuwasili kwenye Kanda hiyo , Mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar Mbowe aliweka Saini kwenye Kitabu cha Wageni kwenye ofisi ya Kanda hiyo , Kabla ya kukinukisha Mjini Tunduma .
View attachment 2788260View attachment 2788262
Usiondoke JF kwa vile kuna Makubwa yanakuja .
========
Mapokezi ya Mbowe Tunduma
View attachment 2788292
Tukitegemea Polisi Tutashindwa - KikweteKatiba ni ile ile
Ndio sababu 2020 mbinu zikibadilika!Tukitegemea Polisi Tutashindwa - Kikwete
Hakuna kitakachodumu milele , Jiwe yuko wapi ?Ndio sababu 2020 mbinu zikibadilika!
Sema CCM imejisimika kwenye moyo wako. Wewe humwakilishi yeyote, zaidi ya nafsi yako.Endeleeni kuzurula wakati CCM ikiwa tayari imeshajisimika katika mioyo ya wana nyanda za juu kusini.
Kukubali CCM ijisimike kwenye moyo wako, lazima uwe ni punguani aliyekamilika.
Tarehe ngapi ,bila Antipas LISU kwakweli sawa 255 itanoga Kanda Nyasa ,Ila uwepo wake nizaidi ya hao waliopoAnakuja na ndege maalum
Erythrocyte Asante kwa kutumegea mambo ya 255 weekend inakuwa Murwa.Kama tulivyoahidi hapo Awali , kwamba tutawaletea kila kinachojiri kwenye Uzinduzi huu , na hivi ndivyo tunavyofanya .
Baada ya kuwasili kwenye Kanda hiyo , Mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar Mbowe aliweka Saini kwenye Kitabu cha Wageni kwenye ofisi ya Kanda hiyo , Kabla ya kukinukisha Mjini Tunduma .
View attachment 2788260View attachment 2788262
Usiondoke JF kwa vile kuna Makubwa yanakuja .
========
Mapokezi ya Mbowe Tunduma
View attachment 2788292
Hali ndio hii hapa
View attachment 2788350View attachment 2788351
tumia browser achana na AppErythrocyte Asante kwa kutumegea mambo ya 255 weekend inakuwa Murwa.
Ila hizi screen shot kwangu hazifunguki kabisa sijui ni mimi tu au na wengine!
Naomba mnifumbulie jinsi ya kuzipata na sio hii tu ni zote.
Au Kuna pahali nimejifungia mwenyewe.? Asanteni.
Kama tulivyoahidi hapo Awali , kwamba tutawaletea kila kinachojiri kwenye Uzinduzi huu , na hivi ndivyo tunavyofanya .
Baada ya kuwasili kwenye Kanda hiyo , Mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar Mbowe aliweka Saini kwenye Kitabu cha Wageni kwenye ofisi ya Kanda hiyo , Kabla ya kukinukisha Mjini Tunduma .
View attachment 2788260View attachment 2788262
Usiondoke JF kwa vile kuna Makubwa yanakuja .
========
Mapokezi ya Mbowe Tunduma
View attachment 2788292
Hali ndio hii hapa
View attachment 2788350View attachment 2788351
lugha ya mwili inashiria kulazimishwa na mazingira, kuchoka, kukosa matumaini na uelekeo, kukata tamaa kabisaaa......Kama tulivyoahidi hapo Awali , kwamba tutawaletea kila kinachojiri kwenye Uzinduzi huu , na hivi ndivyo tunavyofanya .
Baada ya kuwasili kwenye Kanda hiyo , Mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar Mbowe aliweka Saini kwenye Kitabu cha Wageni kwenye ofisi ya Kanda hiyo , Kabla ya kukinukisha Mjini Tunduma .
View attachment 2788260View attachment 2788262
Usiondoke JF kwa vile kuna Makubwa yanakuja .
========
Mapokezi ya Mbowe Tunduma
View attachment 2788292
Hali ndio hii hapa
View attachment 2788350View attachment 2788351
Umati hauelezekiAsante sana TUNDUMA!!
Hujui kiswahililugha ya mwili inashiria kulazimishwa na mazingira, kuchoka, kukosa matumaini na uelekeo, kukata tamaa kabisaaa......