Tunduma: Yanayojiri kwenye uzinduzi wa Oparesheni 255 Kanda ya Nyasa, Freeman Mbowe aongoza Mashambulizi

Amesilimu sio awamu ya sita ni kiboko kwa asali!
 
Kuna watu pedi,chupi na boksa zimetepweta kabisa.
Ustaadhi Abubakary Mbowe kanyaga twende hadi kinyesi kitoke.
 
Endeleeni kuzurula wakati CCM ikiwa tayari imeshajisimika katika mioyo ya wana nyanda za juu kusini.
Sema CCM imejisimika kwenye moyo wako. Wewe humwakilishi yeyote, zaidi ya nafsi yako.

Ukizungumza mambo ambayo ni uwongo wa dhahiri, watu wanakudharau na kukuona ni bwege.
 
Erythrocyte Asante kwa kutumegea mambo ya 255 weekend inakuwa Murwa.

Ila hizi screen shot kwangu hazifunguki kabisa sijui ni mimi tu au na wengine!
Naomba mnifumbulie jinsi ya kuzipata na sio hii tu ni zote.
Au Kuna pahali nimejifungia mwenyewe.? Asanteni.
 
tumia browser achana na App
 
 
lugha ya mwili inashiria kulazimishwa na mazingira, kuchoka, kukosa matumaini na uelekeo, kukata tamaa kabisaaa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…