Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,156 Reaction score 10,974 May 11, 2023 #61 Tafuta hela, hakuna mwanamke ambaye hafikishwi kileleni kwa tako mbili
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 May 11, 2023 #62 Tafuta hela ili uwajue na ndugu zako ambao hua hawaji kwako.
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,330 May 11, 2023 #63 Tafuta Hela uache kutunza Nguo kwaajili ya 'Mitoko' au matukio maalumu.
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,330 May 11, 2023 #64 Tafuta hela infinix, tecno na itel ni simu za kuwasiliana na watu wa huduma kwa wateja peke yake.
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,330 May 11, 2023 #65 Tafuta hela ili uache kushangilia umeme ukirudi baada ya kukatika.
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,330 May 11, 2023 #66 Tafuta hela ili uache kumuita binadamu mwenzako "boss/tajiri"
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,273 Reaction score 16,705 May 11, 2023 #67 Tafuta hela crown, majesta, nissan fuga, nissan v8 hutalalamika zinatumia mafuta mengi
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,273 Reaction score 16,705 May 11, 2023 #68 Tafuta hela usionekane msumbufu kwenye vikao vya familia
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,330 May 11, 2023 #69 Tafuta hela, Serena hotel chakula ni bei chee sana.
Decibel Senior Member Joined Nov 30, 2019 Posts 172 Reaction score 316 May 11, 2023 #70 Huu uzi huu[emoji114]
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 May 11, 2023 #71 1. Tafuta hela huna ndugu wachache. 2. Tafuta Hela mwanamke hakai mbali na simu. 3. Tafuta pesa bando ya siku siyo ya kutumia mwezi. 4. Tafuta pesa uache kulala na mtungi wa gesi chumba kimoja. 5.Tafuta pesa mwanamke hachoki usiku.
1. Tafuta hela huna ndugu wachache. 2. Tafuta Hela mwanamke hakai mbali na simu. 3. Tafuta pesa bando ya siku siyo ya kutumia mwezi. 4. Tafuta pesa uache kulala na mtungi wa gesi chumba kimoja. 5.Tafuta pesa mwanamke hachoki usiku.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 May 11, 2023 #72 Melki the Storyteller said: Tafuta hela, hakuna mwanamke ambaye hafikishwi kileleni kwa tako mbili Click to expand... Hahaha... Kwamba akiona mpunga anakusaidia kazi😁
Melki the Storyteller said: Tafuta hela, hakuna mwanamke ambaye hafikishwi kileleni kwa tako mbili Click to expand... Hahaha... Kwamba akiona mpunga anakusaidia kazi😁
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 May 11, 2023 #73 Tafuta hela ila ujue kabisa haujazipoteza popote pale.
Marcy JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 2,430 Reaction score 5,910 May 11, 2023 #74 Tafuta hela tajiri hana dhambi Tafuta hela hakuna mwanaume mfupi
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 May 11, 2023 #75 Tafuta hela ushikiwe mwamvuli unapotembea.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 May 15, 2023 #76 Tafuta hela safarini hawachimbi dawa vichakani
Sax JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 3,578 Reaction score 6,740 May 15, 2023 #77 Tafuta hela upunguze kutongoza.
Sax JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 3,578 Reaction score 6,740 May 15, 2023 #78 Tafuta hela uache kununua vitu used
M Mohamedex121 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2022 Posts 1,725 Reaction score 3,271 May 15, 2023 #79 Tafuta hela wikiend sio siku ya kufua
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 May 15, 2023 #80 tafuta hela weekend sio siku za kufua nguo