Haya wazee wa chit-chat,mi naanza.
1)Tafuta hela, hakunaga mke wa mtu.
2)Tafuta hela, bodaboda si usafiri official.
3)Tafuta hela, hakuna kitu kinachoitwa wikend (week-end)
4)Tafuta hela, mboga ya mchana haibakizwi hadi jioni.
5)Tafuta hela, kanisa halikatai kuja kukuzika.
6)Tafuta hela, Dar hakuna joto kali.
7)Tafuta hela, hakuna ugumu wa kukutana na viongozi wa nchi.
8)Tafuta hela, mitandao ya simu haibanii vifurushi.
Ongezea za kwako!!!
too personalππmshamba anachekwa vizuri tuuππππ
Ooh ohhh poleeeeπππ tafuta hela usitume id za majina ya ajabuππππtoo personalππ
jina zuri hili watu wanalipendaπ si unaona umecheka....Ooh ohhh poleeeeπππ tafuta hela usitume id za majina ya ajabuππππ
Tafuta hela maadam inatafutikaHaya wazee wa chit-chat,mi naanza.
1)Tafuta hela, hakunaga mke wa mtu.
2)Tafuta hela, bodaboda si usafiri official.
3)Tafuta hela, hakuna kitu kinachoitwa wikend (week-end)
4)Tafuta hela, mboga ya mchana haibakizwi hadi jioni.
5)Tafuta hela, kanisa halikatai kuja kukuzika.
6)Tafuta hela, Dar hakuna joto kali.
7)Tafuta hela, hakuna ugumu wa kukutana na viongozi wa nchi.
8)Tafuta hela, mitandao ya simu haibanii vifurushi.
Ongezea za kwako!!!
π€£π€£π€£ππ€£Tafuta hela,kuku ana vipande viwili tu
Hahh!!πππ€£π€£πTafuta hela wewe siyo mfupi bhana
π―Tafuta hela, YouTube haimalizi Bando mapema