Tunga Sentensi ikianza na maneno "Tafuta Hela"

Tunga Sentensi ikianza na maneno "Tafuta Hela"

Haya wazee wa chit-chat,mi naanza.

1)Tafuta hela, hakunaga mke wa mtu.

2)Tafuta hela, bodaboda si usafiri official.

3)Tafuta hela, hakuna kitu kinachoitwa wikend (week-end)

4)Tafuta hela, mboga ya mchana haibakizwi hadi jioni.

5)Tafuta hela, kanisa halikatai kuja kukuzika.

6)Tafuta hela, Dar hakuna joto kali.

7)Tafuta hela, hakuna ugumu wa kukutana na viongozi wa nchi.

8)Tafuta hela, mitandao ya simu haibanii vifurushi.

Ongezea za kwako!!!
Tafuta Hela, Mercedes Benz S class sio gharama
 
Tafuta hela mademu wazuri siyo malaya.

Tafuta hela uache kuamini jamii forum Kuna watu wazito ukicomment na kuanzisha thread za maana watakupa connection.

Tafuta hela dar Kuna wanawake ambao ni wife material.

Tafuta hela hamna kabila lenye wanawake waaminifu au kabila lenye mademu malaya.

TAFUTA HELA MAGUFULI HAKUWA RAIS WA WANYONGE😁
 
Back
Top Bottom