Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Pombe zinaua Mipango ya kupata SuluhuMimi[emoji117]Baada ya kumwagika kwa pombe, suluhu ikaja na mpango mkakati.
Endelea......
Note: sio lazima utumie maneno yote manne.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa MAJALIWA ya mwenyezi Mungu POMBE ilimwagika na SULUHU ikaleta MIPANGO.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sawa banaKwa MAJALIWA ya mwenyezi Mungu POMBE ilimwagika na SULUHU ikaleta MIPANGO.