Tunga sentensi kupitia maneno haya Pombe, Suluhu, Mpango, Majaliwa

Tunga sentensi kupitia maneno haya Pombe, Suluhu, Mpango, Majaliwa

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,595
Reaction score
6,264
Mimi[emoji117]Baada ya kumwagika kwa pombe, suluhu ikaja na mpango mkakati.

Endelea......

Note: sio lazima utumie maneno yote manne.
 
FB_IMG_1617112134214.jpg
 
Ni majaliwa kupata suluhu au mpango kwenye pombe
 
Pombe situmii, napenda Suluhu si kwa Mpango mbaya, tuonane baadae kwa Majaliwa ya Muumba.
 
Back
Top Bottom