Tunga sentensi kwa ex wako ukianza na neno "alidhani"

Tunga sentensi kwa ex wako ukianza na neno "alidhani"

Alidhani sina uwezo wa kujiondoa kwake vile nilivomtreat akapata na nguvu ya kuendeleza uchafu wake,now anabweka bweka tu sina habari nakoroma[emoji42]
 
Ma X wangu wote ni innocent people, naomba Mungu awafanyie wepesi tu katika maisha ya mahusiano. Nione wakiolewa ndoa Njema.

Ila wale walionikataa ndio natatizo nao sana, natamani nitoe kijembe kwao 🤣😂
 
Back
Top Bottom