Tunga sentensi kwa kutumia msemo "LIWALO NA LIWE"

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
73,773
Reaction score
102,126
"Liwalo na liwe" ni kamsemo nimekapata kutokea mjengoni, na nimeanza kuona kana effect kweli...jamani hebu tujaribu kukatungia sentensi kama ilivyokua kwenye somo la kiswahili
 
"liwalo na liwe" alimalizia kusema yule mnyama mwenye sura nzito!
 
Liwalo na liwe,
leo usiku lazima nikalale na mume wa shoga yangu Monika.
 
liwalo naliwe mimi jk lazima nisafiri niende canada hata kama kuna mgomo
 
liwalo na liwe kwenye ndoa lazima nitaingia haijalishi kuna machungu au matamu huko ndani!
 
Liwalo na Liwe Bishanga lazima akomeshwe tabia ya kuchanganya wakina dada JF
 
Last edited by a moderator:
Liwalo na Liwe = Kama Noma na Iwe Noma
 
Liwalo na Liwe kipigo utakipata shenzy type.
 
Barabara mmetengeneza vibaya liwalo na liwe lazima muirudie....By solex
 
Liwalo na Liwe naanza kuwaoyesha the Otherside of Udhaifu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Liwalo na liwe, kama wanachukua Maisha ya Ulimboka lazima dhaifu tumng'oe!
 
Nahs kma sina kipaj cha mapenz,liwalo na liwe lazma nmpate nanili hata km kujiunga freemaso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…