Tunga sentensi kwa kutumia msemo "LIWALO NA LIWE"

Tunga sentensi kwa kutumia msemo "LIWALO NA LIWE"

Liwalo na Liwe naanza kuwaoyesha the Otherside of Udhaifu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

hahaha hiyo side sijui tuipe jina gani jombaaa!
 
Liwalo na liwe,mtaendelea kutawaliwa(sio kuongozwa na serekali Dhaifu ya ccm]
 
Ukweli ni uhuru,dhaifu,LIWALO NA LIWE,KAMA UNA UCHUNGU KAJIFUNGUE,,,,,na bado tutasikia na kuona mengi sizoni hii
 
Liwalo na LIWE APOLLO KAMA KAWA,,,,
LIWALO NA LIWE,USWIZI TUTAENDELEA KUWEKA PESA,,
LIWALO NA LIWE MADIWANI NA WABUNGE WATAONGEZEWA PESA,
LIWALO NA LIWE MADEREVA WA WABUNGE WATAENDELEA KULALAMIKIA MISHAHARA,
LIWALO NA LIWE HATA MSIPOUNGA MKONO BAJET ITAPITA,
LIWALO NA LIWE WATANZANIA WAFUNGE MIKANDA,
LIWALO NA LIWE ........
 
liwalo na liwe lazima niimiliki kwani iliumbwa iwe yako peke yako? muone kwanza!
 
Ukweli ni uhuru,dhaifu,LIWALO NA LIWE,KAMA UNA UCHUNGU KAJIFUNGUE,,,,,na bado tutasikia na kuona mengi sizoni hii

jamaa wanataka kumuua "stelingi" bhanaa...ili muvi liishe
 
Liwalo na LIWE APOLLO KAMA KAWA,,,,
LIWALO NA LIWE,USWIZI TUTAENDELEA KUWEKA PESA,,
LIWALO NA LIWE MADIWANI NA WABUNGE WATAONGEZEWA PESA,
LIWALO NA LIWE MADEREVA WA WABUNGE WATAENDELEA KULALAMIKIA MISHAHARA,
LIWALO NA LIWE HATA MSIPOUNGA MKONO BAJET ITAPITA,
LIWALO NA LIWE WATANZANIA WAFUNGE MIKANDA,
LIWALO NA LIWE ........

naona mkuu umekwama...liwalo na liwe, utatoa tu sentensi nyingine
 
Liwalo na liwe, lazima niende mbinguni maana Bwana Yesu ameenda kuandaa makazi kwa ajili yangu.
WASIOSOMA NI CHAKULA WASOMI.
 
Back
Top Bottom