umepataNikipata mke kutoka JF,itapendeza zaidi!
Bado Mkuu,ukiungana nami katka hitaji langu,itapendeza zaidi!umepata
Shunieitapendeza zaidi shunie akichangia uzi huu
akija itapendeza zaidi
hahaha [emoji125][emoji125]Serikali kucheza na mindset za raia wake kwa kuzua visa na mikasa inapendeza zaidi.
Sentensi tata, kuacha ama? Maana mm nataka waache kabisa hii tabia[emoji85]Serikali kucheza na mindset za raia wake kwa kuzua visa na mikasa inapendeza zaidi.
Mkielewa swali kuwa itapendeza zaidi inatakiwa iwe mwishoni itapendeza zaid[emoji87]Itapendeza zaidi kuvunja Jengo la TANESCO kupisha flyover
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hujambo wewe mwanamke miss u sanaitapendeza zaidi kuikacha CCM
HahahahahaItapendeza zaidi kuvunja Jengo la TANESCO kupisha flyover
KabisaTukimchangia Dr Shika jero jero itapendeza zaidi