Tunga sentensi yoyote kwa kutumia neno "Giza limeingia"

Tunga sentensi yoyote kwa kutumia neno "Giza limeingia"

Giza limeingia ghafla mchana kila mtu ametaharuki!
 
Giza limeingia sitisheni zoezi la kuanzisha threads na kucoment mtaendeleza hili zoezi kutakapopambuzuka!
Ahsanteni...
 
Giza limeingia simanzi zimezidia,taharuki imezidia hofu zimejazia,wananchi wanalilia serikali inafuatilia,washukiwa kuwafuatilia hatiani kuwatia.
Hii sentesi au ngonjera.
 
Back
Top Bottom