Tunga sentensi yoyote kwa kutumia neno "Giza limeingia"

Tunga sentensi yoyote kwa kutumia neno "Giza limeingia"

Mbowe na Sugu tutawasaka hata kama giza limeingia. Ila abiria wa MV Nyerere tutawakuta kesho maana Giza limeingia
 
Baby giza limeingia twende kwenye maombi, kuwaombea wahanga wa ajari, kwa kanisa lile la pale
 
Giza limeingia hapapikiki wala hapaliki hadi kesho
 
Back
Top Bottom