Tunga sentensi yoyote kwa kutumia neno "Giza limeingia"

Mbowe na Sugu tutawasaka hata kama giza limeingia. Ila abiria wa MV Nyerere tutawakuta kesho maana Giza limeingia
 
Huku kwetu Giza limeingia, mshindi ameshapatikana?
 
Baby giza limeingia twende kwenye maombi, kuwaombea wahanga wa ajari, kwa kanisa lile la pale
 
Giza limeingia hapapikiki wala hapaliki hadi kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…